Mh!but sam taim binadam bana anakuwa si Bin Adam.,Ww waweka moyo wako kwa kumsaidia,yeye anajichukulia tena kana kwamba ndiye mjanja zaidi,atakupiga(atakuliza) kwa namna yoyote.
Pamoja na yote inabidi tuvumiliane kwani ndio UBIN ADAM.,kuvuka na kufikia kuiweka mioyo yetu kwenye UNYAMA,wanyama(U~nyamani) kwa asilimia kubwa hapo tunakuwa tumetoka kwenye "UTU".
Lakini pia sio kwamba tusiwapende wanyama.,tuwapende na kuwajali pasipo stahil ni kufikia kusahau ya kwamba tumefikia huku................
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.