Quote gani ya Kitanzania kutoka kwa viongozi,wafanyabiashara,watu mashuhuri nchini unayoikubali...

"Juhudi hufanya ndoto iwe" profesa jay
Role model wangu.
"Mjasiriamali mdogo,kujiamini ndiyo injini ya mafanikio yako" reginald mengi
Fundi wangu.
"Vijana inatakiwa wajishughulishe,kilimo kina hela nyingi mim nipo huko nafahamu" mo dewji
Mjasiriamali wangu.
 
Million 10 ni hela ya mboga tu... Anna Tibaijuka
Hivi ni vijisenti tu......Andrew Chenge
Kula Uliwe.........JK
 
Wabunge wa Dar wanafikiria kwa kutumia makalio
............. Didas Masaburi.
 
"Kwenye serikali yangu ninayoingoza sitakaa niteuwe wapinzani"- Mafuguli John Pombe Joseph
 
Back
Top Bottom