Habari zenu ndugu.
Kwa mwenye kufahamu, hasa wauzaji wa vifaa kwa ajili ya wiring ya nyumba za makazi.
Vifaa hivi vifuatavyo bei yake inasimamaje?
i) Main switch "Havels" 12 ways
ii) Circuit Breaker "Havels" single phase
iii) Twin cable 10mm
iv) Single core cable 1.5mm kwa roll moja red, black na Green.
v) Single core cable 2.5mm (Euro cable) kwa roll
Mwenye duka la vifaa vya umeme weka, uwanja ni wako pia unaweza kutupatia namba zako. Twaweza kuja kukutembelea