Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,701
- 2,613
QuickOffice ni watenegenzaji wa Software ya kusoma na kuedit files za MS Office kwenye mobile, ambayo ilinunuliwa na Google mwaka jana.
Sasa app hiyo imekuwa bure, badala ya bei ya $14.99 hapo awali.
Wenye Android nenda: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.quickoffice.android