Mseti athuman
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 203
- 150
What is pharmacy? What's the impotance of pharmacists? What do pharmacists do?
Dogo Umeongea uongo mtupu.mkuu mi nadhani pharmacist ni professional anaedili na kitu chochote kinacholeta mabadiliko ya kibiologia kwenye mwili wako mfano dawa na kaz yake ni
1 utengenezaji wa dawa na usimamizi wa matumizi ya dawa kwa wagonjwa (wahitaji)
2 waphamasia wana uwanja mpana Sana Kweny research
Viwanda vya dawa vipo vingi ,kama sikosei keko pia wanatengenezaDogo Umeongea uongo mtupu.
1. Hamna pharmacist anaetengeneza dawa bongo hapa. (Labda ULAYA)
kama yupo humu jf ajitokeze
2.Research za magonjwa ufanywa na ma Doctors na watu wa Maabara tu.
3 Research unayoizungumzia ww ni ip.?
Maana mpaka waalimu pia wanafanya Research.
Mhhhhhhhhhh kweli???yaan ukisoma pharmacy hapa kwetu Tanzania utafanya kazi ya kugawa dawa dirishani tu na ajira zake ni adimu kupata ....halaf hata wenye degree wanaomaliza post zao uwa zinatoka serikalini lakn hawaajiriwi wote asilimia kubwa wanaachwa mtaani ili wajiongeze wafungue maduka ya kuuza dawa.....inshot hii course kwa hapa bongo sikushauri uisome ....
Wanaotengeneza zile dawa siyo wabongo.Viwanda vya dawa vipo vingi ,kama sikosei keko pia wanatengeneza
We jamaa jiangalie akil yako uyo wa ulaya kwani sio pharmacist? hapa tunaongelea pharmacist duniani kote kwani dawa znatoka wapi? Au babu yako ndio anatengeneza? Pili fanya uchunguzi kama mtu anaejielewa hapa kwetu kuna viwanda vya dawa kama malaphine ya malaria inaprodusiwa apo mwenge daresalaam tatu drug discovery MD wanafanya? Kwa taarifa yako Kati ya research yenye pesa duniani ni hii na inafanywa na pharmacist pekeeDogo Umeongea uongo mtupu.
1. Hamna pharmacist anaetengeneza dawa bongo hapa. (Labda ULAYA)
kama yupo humu jf ajitokeze
2.Research za magonjwa ufanywa na ma Doctors na watu wa Maabara tu.
3 Research unayoizungumzia ww ni ip.?
Maana mpaka waalimu pia wanafanya Research.
4. Pharmacist w bongo kazi yake ni kugawa dawa tu.
Utengenezaji wa dawa ni biashara kama biashara nyingine mmiliki anaweza kua muhindi kwa sababu anacapital ila kaja kutengeneza kiwanda bongo coz kuna soko na Labour (wafanyakazi) na Hao wafanyakazi ni waphamasiaWanaotengeneza zile dawa siyo wabongo.
Fuatilia utasikia KIWANDA ni cha Wahindi au Wachina au Wajerumani.
Wao ndo controller wa kila kitu hapo.
Hao wa bongo wanaajiriwa kama vibarua.
NOTE HAMNA MFAMASIA ANAYE TENGENEZA DAWA BONGO.
Wanaotengeneza zile dawa siyo wabongo.
Fuatilia utasikia KIWANDA ni cha Wahindi au Wachina au Wajerumani.
Wao ndo controller wa kila kitu hapo.
Hao wa bongo wanaajiriwa kama vibarua.
NOTE HAMNA MFAMASIA ANAYE TENGENEZA DAWA BONGO.
We jamaa jiangalie akil yako uyo wa ulaya kwani sio pharmacist? hapa tunaongelea pharmacist duniani kote kwani dawa znatoka wapi? Au babu yako ndio anatengeneza? Pili fanya uchunguzi kama mtu anaejielewa hapa kwetu kuna viwanda vya dawa kama malaphine ya malaria inaprodusiwa apo mwenge daresalaam tatu drug discovery MD wanafanya? Kwa taarifa yako Kati ya research yenye pesa duniani ni hii na inafanywa na pharmacist pekee

Research Inafanywa na watu wa Maabara kwa asilimia kubwa (medical laboratory scientists)Mim nazungumzia mphamasia kidunia sio kwa hapa Tanzania na kila techitian apo anaresearh zake kama kwa tz research zmedorora ni tz na ndio maana Ata dawa karibia zote tunaimport ila nchi nyngne wapo vzurii![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Research Inafanywa na watu wa Maabara kwa asilimia kubwa (medical laboratory scientists)
wakisaidiwa na Madoctors kwa asilimia ndogoooo sanaa.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Research Inafanywa na watu wa Maabara kwa asilimia kubwa (medical laboratory scientists)
wakisaidiwa na Madoctors kwa asilimia ndogoooo sanaa.
yaan ukisoma pharmacy hapa kwetu Tanzania utafanya kazi ya kugawa dawa dirishani tu na ajira zake ni adimu kupata ....halaf hata wenye degree wanaomaliza post zao uwa zinatoka serikalini lakn hawaajiriwi wote asilimia kubwa wanaachwa mtaani ili wajiongeze wafungue maduka ya kuuza dawa.....inshot hii course kwa hapa bongo sikushauri uisome ....
Leo umeongea point ... Asante kwa kumtoa ujinga huyo jamaa.Viwanda vya dawa vipo vingi ,kama sikosei keko pia wanatengeneza
Wewe umesoma nn !! Maana naona unakatisha tamaa tu wenzako wakati hata diploma huna !!! Nimepitia post zako kadhaa unaomba ushauri wa kwenda kusoma mara clinical medicine na nursing diploma hydom .. Em nenda kasome kwanza afu ukisha pata hata diploma njoo uendelee kushauri watu ..labda utakuwa umeelimika kidogo... Idiotyaan ukisoma pharmacy hapa kwetu Tanzania utafanya kazi ya kugawa dawa dirishani tu na ajira zake ni adimu kupata ....halaf hata wenye degree wanaomaliza post zao uwa zinatoka serikalini lakn hawaajiriwi wote asilimia kubwa wanaachwa mtaani ili wajiongeze wafungue maduka ya kuuza dawa.....inshot hii course kwa hapa bongo sikushauri uisome ....
Duh si adobe ushauri sasa mbona anaanzia mbali ivyoWewe umesoma nn !! Maana naona unakatisha tamaa tu wenzako wakati hata diploma huna !!! Nimepitia post zako kadhaa unaomba ushauri wa kwenda kusoma mara clinical medicine na nursing diploma hydom .. Em nenda kasome kwanza afu ukisha pata hata diploma njoo uendelee kushauri watu ..labda utakuwa umeelimika kidogo... Idiot
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1085052/
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1085194/
Wewe umesoma nn !! Maana naona unakatisha tamaa tu wenzako wakati hata diploma huna !!! Nimepitia post zako kadhaa unaomba ushauri wa kwenda kusoma mara clinical medicine na nursing diploma hydom .. Em nenda kasome kwanza afu ukisha pata hata diploma njoo uendelee kushauri watu ..labda utakuwa umeelimika kidogo... Idiot
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1085052/
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1085194/