Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,960
- 11,222
- Thread starter
-
- #21
Hakuna mtu katika historia ya Tanzania ambaye amehojiwa kama Mwalimu Nyerere. Na kumhoji huko hakukuanza leo wala hakutaisha kesho. Kinachopaswa sasa ni sisi kujihoji tunafanya nini - pale Nyerere aliposhindwa sisi vipi? Leo nimetembelea shamba ambalo Nyerere alilianzisha kwa ushirikiano na watu wa Korea, wenyewe wanaliita KOTACO. Majengo yapo tu na shamba kapewa mwekezaji. Sasa hapo wa kuhojiwa ni sisi kuhusu namna ambavyo tunanufaika na mwekezaji huyo na namna tunavyoyatumia majengo hayo na umeme uliovutwa na KOTACO katika kitongoji cha hapo enzi hizo. Hivyo hivyo tunapaswa kujihoji kuhusu vyote tulivyovibinafsisha baada ya Nyerere kuvitaifisha na Watanzania kushindwa kuviendesha - tujihoji kuhusu mashamba ya NAFCO, NARCO Viwanda vya Ubungo Garments n.k. - Je, vina tija gani sasa hivi na kwa manufaa ya nani?
Ni 'lukuki'. Hiyo 'luluki' labda ni kilugha chenu
Chochote :becky:
Kizibao
umezungumzia maswala ya mashamba ya ujamaa na rushwa za juu enzi za sabini ambavyo ni havikusaidia nchi kuwa productive kwa mujibu wako. Consider tulikuwa na mabwana shamba hivyo sidhani kama tulikuwa tunalima kiolela olela tu ningependa kujua je kwanini the policy was a failure after a long period of trying. Was it as a result of lacking natural resources such as rain hili kumwagilia mashamba, did they have plan B in irrigating the farms, was it because people dint fancy the idea therefore participating in the farming declined, or was it just a policy that was not well detailed ili tujue uwezo wa mwalimu kifikra. Labda hata tumlaumu aliyemshauri ni nani alikuwa 'sidekick' wake kwenye kutunga sera na mwongozo wakati huo or was it just a one man band. If so then how did he deal with aides (ministers) and what were there roles?
Na kama kulikuwa na rushwa who were the givers and takers of the act, maana asilimia kubwa ya watanzania hawakuwa na hela, na je kabla ya Sokoine kuibuka na uhujumu uchumi ilikuwaje wadosi waweze kupeta enzi ya mwalimu na wazawa kukwama. Mwalimu alikuwa anawaogopa weusi kwa sababu ya kulinda utawala wake ndio maana akawakandamiza wasomi wengi na kuwanyima elimu ya juu watanzania wengi kipindi chake. Mbona hawa watanzania wenye asili za kiasia hawakuwa na hali mbaya kama watanzania weusi wengi, it seems we dint have a level playing ground in the social. Therefore what were his motives in allowing others and limiting others, kwa sababu its pretty much the same naona naposoma akina manji na sijui the jeetu's?
Companero,Hakuna mtu katika historia ya Tanzania ambaye amehojiwa kama Mwalimu Nyerere. Na kumhoji huko hakukuanza leo wala hakutaisha kesho. Kinachopaswa sasa ni sisi kujihoji tunafanya nini - pale Nyerere aliposhindwa sisi vipi? Leo nimetembelea shamba ambalo Nyerere alilianzisha kwa ushirikiano na watu wa Korea, wenyewe wanaliita KOTACO. Majengo yapo tu na shamba kapewa mwekezaji. Sasa hapo wa kuhojiwa ni sisi kuhusu namna ambavyo tunanufaika na mwekezaji huyo na namna tunavyoyatumia majengo hayo na umeme uliovutwa na KOTACO katika kitongoji cha hapo enzi hizo. Hivyo hivyo tunapaswa kujihoji kuhusu vyote tulivyovibinafsisha baada ya Nyerere kuvitaifisha na Watanzania kushindwa kuviendesha - tujihoji kuhusu mashamba ya NAFCO, NARCO Viwanda vya Ubungo Garments n.k. - Je, vina tija gani sasa hivi na kwa manufaa ya nani?
Mzee Ngabu;
Leo na wewe umenikamata,..., tatizo umenikamata kwenye keyboard na siyo kwenye ubongo
well then tell us your side life is not to agree, but to disagree and it would be impossible to disagree without the freedom to disagree.Funny. Isn't it? How people consider it "freedom of speech" to speak bad of Nyerere while at the same time they fret when other people disagree with their assessment of Nyerere...
ndipo tunapotaka kwenda lakini kuna red tape, sasa tunataka kujua ni wapi hizi nguvu zilipo kwa sababu a lot is being lost without much fuss. hata kesho ukisikia mzungu kakabidhiwa ardhi au mwarabu kapewa sehemu ya wanyapori there is not much we can. Wenyewe on the ground walipojaribu ku protest walichomewa vibanda vyao mioto, walipojaribu kwenda mjini kuandamana walitimuliwa na viongozi wao kusekwa only to be accused of being non residents. kibaya zaidi habari za leo kwetu watanzania kesho ni hadithi za jana whatever happened to those ladies?
sasa unataka watu wakurupuke from no where waishie malupango lazima ujue vita inaaanzia wapi kama kujipanga. Kama ni kusema polisi wamekuwa na nguvu mno au mahakama tumekosa imani nayo. Kwa tanzania ni bora kuanzia chini kuliko juu. Mpaka hapo tutapoweza kuwa na nguvu za kuweka watu accountable at anylevel ndio ukweli tunaweza fanya chochote vinginevyo tunaongopeana na inakuwa kama tunajiburudisha tu kibarazani jamaa awasikii kabisa. Wapo dunia nyingine wao.
Kwa hiyo yote hapo juu ni kwa sababu "Mwalimu JKN failed us miserably"? Yaani mtu aache urais 1985 mimi nikiwa darasa la 1 halafu mpaka leo 2010 nimemaliza elimu ya juu bado ni Mwalimu tu anatufelisha sana? Hivi kwa nini tunapenda sana visingizo Watanzania - we are failing ourselves miserably!
Miafrika......
(emphasis added)Uko right, lakini nadhani hatuwezi kuwa na vipaumbele vya namna hii. Simple minds discuss people! Wewe kwa akili yako kabisa timilifu unadhani katika hali tuliyonayo, matatizo luluki tunaweza kupata ufumbuzi wake (reliable solution) kupitia mijadala ya kumjadili mwalimu? Upeo wako wa kuchanganua mambo unaonekana ni mdogo sana. Hapa issue ni kutoa hoja, na si kuwa na mda wa kucheza na keyboard halafu unaandika "just anything", chochte kile kinachokuja kichwani. Watu wa namna yako mimi huwa wananisikitisha sana!
Life is not just black and white, tabia za viongozi wa leo wamerithi kutoka kwa baba wa taifa and nothing has changed ever since in terms of policies. Baati mbaya zaidi alituachia wale viongozi wasio na uwezo ndio matokeo yake, sasa tena umlaumu nani leo kama si yeye indirectly. He had a chance to change the course we took but never utilised it yeye kakurupuka tu kuondoka without changing the system. Isn't that enough for us to blame?Kwa hiyo yote hapo juu ni kwa sababu "Mwalimu JKN failed us miserably"? Yaani mtu aache urais 1985 mimi nikiwa darasa la 1 halafu mpaka leo 2010 nimemaliza elimu ya juu bado ni Mwalimu tu anatufelisha sana? Hivi kwa nini tunapenda sana visingizo Watanzania - we are failing ourselves miserably!
Mitanzania.....
Aaah wapi Miafrika yote iko sawa tu. Juzi juzi nilikuwa Lome...hakuna tofauti na kwingine kusini mwa jangwa la Sahara ukiacha Afrika Kusini kwenye mizungu bwelele
Life is not just black and white, tabia za viongozi wa leo wamerithi kutoka kwa baba wa taifa and nothing has changed ever since in terms of policies. Baati mbaya zaidi alituachia wale viongozi wasio na uwezo ndio matokeo yake, sasa tena umlaumu nani leo kama si yeye indirectly. He had a chance to change the course we took but never utilised it yeye kakurupuka tu kuondoka without changing the system. Isn't that enough for us to blame?
Hivi huko Mauritius, Shelisheli au Carbo Verde Miafrika inawalalamikia waasisi ama inajiendeleza kwa kasi?
Hebu nenda kawasaidie Washona huko Zimbabwe wanaofua noti na kuzianika kwenye kamba.....from a breadbasket to an economic basket case.....pitiful