Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,524
- 146,049
Ndo unajibu hello ama ulimola nayo ni hello PIC no. 2?
Hapana, hiyo siyo hello.
Ni 'hujambo?'
Kwa hiyo, kama ni kutafsiri kwa Kiingereza, 'kinehe, ulimhola?' = 'hello, how are you?'