Question Of The Day:Which One Would You Rather....................

Question Of The Day:Which One Would You Rather....................

I GO FOR A DESCENT WOMEN,watoto tutalea pamoja,as long as i love her....i will love her children too,na atanizalia wangu pia!
HELL NO to the -----/slut,mi sioi alie na history scary kama hiyo,sex with half men in the city!!! plus my two best friends!!!? oh boy,not a wife material at all! she is cheap..and that sucks,RUN AWAY LIKE HELL 🙁

Oh I aint having more babies.
 
I always like children and i love kids with their disturbance napenda watoto wenye fujo!! sembuse mama yao!
God plz bless me with many children!
 
I always like children and i love kids with their disturbance napenda watoto wenye fujo!! sembuse mama yao!
God plz bless me with many children![/QUOu

Kwa hiyo unaweza oa mwanamke mwenye watoto hata wa4??
Kwa sababu mie mwenyewe nilikuwa Captain wa utundu !! Imenipelekesha kuwa addicted kuona na kusikia zahma (crowded) za watoto ... Hao wa4 ni party ndogo tu!! Nafurahi sana ninapo waekea mloo wao!!
 
Back
Top Bottom