:smile-big::smile-big::smile-big😛esa makaratasi,heshima kitandani,afu we FirstLady1 maswali yako na hiyo picha ya kwanza yanaleta vishawishi!!!!!!!!!!!!!!!!!!
dada acha mawazo mgando hayo.dunia ya leo co kuendelea kumtegemea mwaume..pigana upate chako na heshima itakuwepo kuburuzwa utakuckia tu kwa watu ila kwa mawazo bora awe na hela cz hutakula sura means we unategemea uletewe hahaha utajikuta jamvi la wageni cz watakuona kama huna future vle. ni mtazamo tu take t or potezea.