Question: Does it matter who massages you; male or female?

Question: Does it matter who massages you; male or female?

Mmmmmhhhh miss chagga mi haya yalishanikuta. Shosti nilibahatika kujifunza massage katika pita pita zangu za maisha. Basi si nikajipendekeza kumfanyia sweet potato... ebwanaee nilikomaje. Kila siku au baada ya siku mbili anataka. Bidada niende kazini, nirudi na foleni nimechoka mbaya, nisaidie mapishi pale home, huku watoto... ukiingia ndani hoi mtu ndo anataka na massage... mwe jasho nilikuwa linantoka mpaka kwenye makalio ndugu yangu loh! Ukimuomba yeye akufanyie anasema hajui. Nalala kama gogo nimechoka... nikasema nini... baba nenda kwa mwanamke aku massage isiwe tabu! Kisa nini haswaaaa... akaaa!

Mgawanyo wa KAZI...!

"..Mwanamke naamfanyie "Massage" Mwanamme na vivyo hivyo Mwanamme naamfanyie "Massage" Mwanamke..."
 
Kwani bila massage siponi????Dume linipapase mgongo mie HELL NO!!!
 
Yaani mwanaume mwenzako akufanyie massage??? Big NO!!

Massage ambayo amezungumzia mtoa mada ni kama tiba kutokana na maumivu aliyokuwa nayo; na hii kitaalam inaitwa physiotherapy.

Mi nadhani hii inaweza kufanywa na mwanamke au mwanamume ili mradi awe na utaalam unaotakiwa.

Mbona mwanaume akiugua hachagui nani amchome sindano kati ya muuguzi wa kike au wa kiume?

Wengi waliochangia hapa wameelekeza mawazo yao kwingine!
 
I recently complained of lower back pain, my wife and I went to a nearby hospital,, who recommended for a massage to the region. When the lady that was to massage me wanted to start, my wife strongly objected to it, saying that the massage should be done by a male. I called it off because a fellow man can’t massage me.
QN: does it matter who massages you; male or female?

Does it matter? Yes, it does. It sounds pleasurable and enjoyable to feel a woman's soft and romantic hands scrolling through the surface of your skin. How the hell can a man massage another man? This's ethically unacceptable.
 
Massage yafaa mkeo, jamaa kichachamaa? Utammasaji mwenyewe?

Ila kama ki tabibu zaidi labda, ila mwenzi wako yafaa awepo.

mkuu, jamaa achachamae kwani ana-massage hadi kwa 'jamaa'? huo utakuwa udhaifu wako binafsi.
 
Hapa hakuna cha kuwaza mabaya au nini, ati!!! mwanaume mwenzangu afanye nini!!!!, hair cutting kwnyewe haoshi kichwa hiki ndo iwe

nini to hell with massage ya kfanya mwanaume.
 
Sioni ubaya wowote labda iwe tu wewe mwenyewe ukiwa na mawazo mabaya(perverted).....mnashangaza sana.....yaani hamwezi fanya lolote lile bila kuwaza kishetani, mara ngono kila mara....duh!....dunia kweli inaudhi....yaani mawazo machafu mbele nyuma...hadi kanisani...labda nyakati za mwisho ni hizi...yaani hata ndugu hawashikani mikono kwa upendo tena wakitembea mtaani kama ilivyokua enzi za babu....uuuurgh!....heri Bwana Yesu arudi tu!

mkuu, tatizo sio ushetani wala nini. hoja ni kwamba kazi ya massage inahitaji uwe massaged na kitu soft, ndio maana hata mafuta yanayotumika ni laini. hivyo hata mikono (ya mwanamke) inayotumika inapaswa iwe laini. sio mwanaume unafunga safari toka nyumbani kwako halafu unaenda kuwa massaged na mamikono sugu ya mwanamume mwenzako! haingii akilini.
 
Ungekuwa Arabia basi taab tu!....Male massages males female massages female...ili kuzuia fikra za uzinzi....kuna massage inaitwa physiotherapy and its for medical purposes only...sasa kama kila mara una mawazo ya kugegedana basi wewe ndio utakuwa na shida........kwa mawazo kama haya hapo juu....basi hata mkeo itabidi awe massaged na mwanaume sio mwanamke....period!!!...upuzi ulioje?
 
mbona majibu unayo mwenyewe kwenye uzi wako? si ulikataa mwanaume mwenzako kukusugua? sasa unauliza does it matter? kama si hivyo si ungekubali tu usuguliwe? watu wengine bana!!
 
Back
Top Bottom