Quattara aongoza ivory coast akiwa hotelini

Hiyo ndo Afrika bwana,,viongozi hawaishi kuwa na vituko!!!!!!!nani aliyetuloga cjui!
 
naogopa sana... Mara nyingi tunachukua muda mwingi kujadili habari zilizopotoshwa. Nimezungumza na jamaa wawili kutoka ivory cost, wanasema kuwa media inatumiwa na west countries kuuhadaa ulimwengu. Quattara hajashinda hata kidogo, bali kilichofanyika pale ni attempt ya kupindua serikali katika mchakato wa uchaguzi.

Mwenyekiti wa electoral commision alitekwa na kulazimishwa kumtangaza quattara kama mshindi. Sasa hivi huyo jamaa chaiman of the ivory cost electoral committee na familia yake hajulikani alipo. Inakisiwa yupo kwenye hiyo hotel ambayo quattara yupo, un nao wapo hapo, waasi wanakaa kwenye hotel hiyo ya ki-faransa.

Amenipa maelezo mengi na ya kutisha sana kiasi sina muda kuya post yote. Anasema france ndio wanaovuruga nchi hiyo. Wamejaribu kumpiga risasi kama unavyopendekeza lakini mara zote walishindwa. jamaa ni mcha mungu ile mbaya, na anafunga mwezi mzima akiomba ulinzi kutoka kwa mungu. Ndege za wafaransa zilikuja kupiga mabomu kwenye makazi yake lakini hawakuona nyumba yake bali waliona watu wenye nguo nyeupe wengi sana. Hivyo wakashindwa kupata target ya nyumba yake.

sasa hivi ecowas, au, un wamemlaani gbagbo kama ameng'ang'ania madaraka kinyume cha matakwa ya wa ivory, lakini wana ivory cost wameandamana huko france kupinga kile kinachofanywa na huyo colonial master kupindua ukweli wa mambo. Bunge la france limegawanyika juu ya tukio hilo. Huko nyumbani ivory cost karibu nchi nzima, machief wa makabila yote wameweka msimamo wao kwamba wakimchagua gbagbo kuwa rais na sio quattara.

Kwahiyo jamani, tufanye uchunguzi ili tuusemee ukweli na siyo uzushi, no research no right to speak... Sio kweli kuwa mara zote incumbent leader ndiye anaye rig election kwani this time round quattara (the opposition leader) ndiye amefanya mchezo mchafu na akisaidiwa na mafia!

do you want us to believe this
 
No he/she wants us to learn something from it!

Masikini jeuri, mimi ni Mr Sungura, nina mke wangu na watoto wangu. Nashukuru kwa dokezo lako. Mimi naamini sana kuwa pamoja na siasa, science, technology, military forces, as you can name them,... Mungu anaweza kutoa ulinzi wa uhakika zaidi kwa anayemtegemea. Bahati nzuri ni kwamba Mungu anatulinda watu wote hata tusiomtegemea.

Lakini kwa baadhi ya watu ambao wanagusa maisha ya watu wengi kama Gbagbo, Mungu anaweza kutoa ulinzi wa ziada ili kupingana na nguvu za uonevu, ushetwani, na njama za kidhalimu kama hao wa-Faransa wenye nguvu za kivita, kiuchumi na kiushawishi.

Nimetoa maelezo hayo, kama muhtasari wa mengi ambayo hawa jamaa wamenieleza baada ya kuona nimekuwa concerned na fate ya nchi yao. Kwakweli wapo katika desperate situation kiasi kwamba ukionesha kuwajali na kuwasikiliza wanakumwagia siri zote na zingine ni v/sensitive. Mmoja amenijulisha kuwa yeye ni member wa hiyo Electoral Commission yao na amehusika na maswala menngi kwenye uchaguzi huo na anaonesha kuwa na authority ktk maelezo yake. Sasa tatizo katika ulimwengu wa sasa nani atamsikiliza atoe ukweli wake? Media zote hazisimami kwenye neutral point kama ilivyokuwa kwetu wakati wa uchaguzi. Kuna madai mengi amabayo yanashtua ukiyasikiliza,.. wanasema kuwa maraisi wengi sana sasa hivi ni Mafia. Kwa vile mimi sikufahamu neno "mafia" nililazimika kukadadisi zaidi, ndio wakaniambia kuwa Laurent sio Free Mason (F_M), hivyo hatakiwi. Wakadai kuwa, "Maraisi wengi duniani sasa hivi ni mafree mason" (hii nayo ni surprising news kwangu) "na ndio maana west africa wamelaani na kumtoa I/C kwenye ECOWAS kwasababu wengi wa maraisi huko ni wafuasi wa F_M na wanapokea maelekezo ya mataifa ya Ulaya na US".

Kuna mengi zaidi ya haya wamenieleza; mimi nilichokuwa najaribu hapa JF ni kuwashtua wengi, ambao wameonesha kujadiri uchaguzi wa Ivory Cost (I/C) kwa mtizamo mmoja kuwa the incumbent president, Laurent Gbagbo, has rigged the election, na kwamba he has added a disgrace to our continent, such view of point should be reviewed and/or analysed.

Kwa kifupi naomba pia msome kwenye website hii Kernews, kuna mahojiano ya Alcide Djédjé ambaye ni waziri wa mambo ya nchi za nje wa I/C. Zaidi ya hapo ndugu Babukijana na The Finest, mtanipiga mawe bure mimi nimewasilisha tu.
 
Utaniwia radhi lakini haya mambo unayoongea hayana mantiki. Ni kama stori za kijiweni chini ya mwarobaini wenye kivuli mwanana.
 
Hiyo ndo Afrika bwana,,viongozi hawaishi kuwa na vituko!!!!!!!nani aliyetuloga cjui!

Wiselady hakuna aliyetuloga na siamini kama kuna mtu anaweza kuloga bara zima. Tatizo ni letu wenyewe na viongozi wetu. Hii dhana ya kutafuta mchawi nje ya bara la africa kwa kila jambo ndio inayotufanya tusipate suluhu ya matatizo yetu.
 
Kiuhalisia hakuna aliye tuloga,,wala hakuna laana,,lkn bara letu lina utata mwingi!!!!!!!!!!
 
masikini jeuri, mimi ni mr sungura, nina mke wangu na watoto wangu. Nashukuru kwa dokezo lako. Mimi naamini sana kuwa pamoja na siasa, science, technology, military forces, as you can name them,... Mungu anaweza kutoa ulinzi wa uhakika zaidi kwa anayemtegemea. Bahati nzuri ni kwamba mungu anatulinda watu wote hata tusiomtegemea.

Lakini kwa baadhi ya watu ambao wanagusa maisha ya watu wengi kama gbagbo, mungu anaweza kutoa ulinzi wa ziada ili kupingana na nguvu za uonevu, ushetwani, na njama za kidhalimu kama hao wa-faransa wenye nguvu za kivita, kiuchumi na kiushawishi.

Nimetoa maelezo hayo, kama muhtasari wa mengi ambayo hawa jamaa wamenieleza baada ya kuona nimekuwa concerned na fate ya nchi yao. Kwakweli wapo katika desperate situation kiasi kwamba ukionesha kuwajali na kuwasikiliza wanakumwagia siri zote na zingine ni v/sensitive. Mmoja amenijulisha kuwa yeye ni member wa hiyo electoral commission yao na amehusika na maswala menngi kwenye uchaguzi huo na anaonesha kuwa na authority ktk maelezo yake. Sasa tatizo katika ulimwengu wa sasa nani atamsikiliza atoe ukweli wake? Media zote hazisimami kwenye neutral point kama ilivyokuwa kwetu wakati wa uchaguzi. Kuna madai mengi amabayo yanashtua ukiyasikiliza,.. Wanasema kuwa maraisi wengi sana sasa hivi ni mafia. Kwa vile mimi sikufahamu neno "mafia" nililazimika kukadadisi zaidi, ndio wakaniambia kuwa laurent sio free mason (f_m), hivyo hatakiwi. Wakadai kuwa, "maraisi wengi duniani sasa hivi ni mafree mason" (hii nayo ni surprising news kwangu) "na ndio maana west africa wamelaani na kumtoa i/c kwenye ecowas kwasababu wengi wa maraisi huko ni wafuasi wa f_m na wanapokea maelekezo ya mataifa ya ulaya na us".

Kuna mengi zaidi ya haya wamenieleza; mimi nilichokuwa najaribu hapa jf ni kuwashtua wengi, ambao wameonesha kujadiri uchaguzi wa ivory cost (i/c) kwa mtizamo mmoja kuwa the incumbent president, laurent gbagbo, has rigged the election, na kwamba he has added a disgrace to our continent, such view of point should be reviewed and/or analysed.

Kwa kifupi naomba pia msome kwenye website hii kernews, kuna mahojiano ya alcide djédjé ambaye ni waziri wa mambo ya nchi za nje wa i/c. Zaidi ya hapo ndugu babukijana na the finest, mtanipiga mawe bure mimi nimewasilisha tu.

truth of the matter with gbagbo its very difficult for me to believe what you are telling ukizingatia gbagbo aliingia madarakani kwa style ambayo na yeye naye anataka kutolewa madarakani hivyo hivyo kama ni kweli mtu wa mungu kwanini ung'ang'anie madaraka kiasi hicho why don't you step aside kuna mengi ya kujiuliza hapa but we leave these politics kwa watu wa ivory coast wenyewe they know much better than we do
 
Ndo maana namsifu Dk Slaa kwa busara zake, alishinda wakamchakachua amekubali yaishe for the sake of amani. Imagine na yeye angekuwa kapiga kambi kwenye hotel flani na jinsi alivyo na wafuasi si ingekuwa balaa?? shame on you African presidents especially in East Africa. Tumeona Kenya 2007 na TZ 2010 mnavyon'gan'gania ushindi.
Dr. Slaa hakutangazwa mshindi na tume au baraza la la katiba.
 
Hakuna ucha Mungu hapo, kwanza huko west Africa wanaongoza kwa uchawi! Mimi hapo nimejifunza kitu kimoja. Nimeona faida ya kuwa na tume huru ya uchaguzi yenye uthubutu wa kumtangaza mpinzani kuwa raisi.
 
hakuna ucha mungu hapo, kwanza huko west africa wanaongoza kwa uchawi! Mimi hapo nimejifunza kitu kimoja. nimeona faida ya kuwa na tume huru ya uchaguzi yenye uthubutu wa kumtangaza mpinzani kuwa raisi.

sijui kwanini upinzani afrika ni kama vile uasi ukiwa mpinzani unaonekana ni mbaya sana tena serikali inasema wewe ni mtu hatari sana kwa siasa za nchi husika
 
Najaribu kuwasiliana na rafiki yangu huko cote d'ivoire; nitamwomba atoe majibu kwa kifaransa ; lugha anayoielewa vizuri na naomaba wadau wa ki french hapa watusaidie kutafsiri! Lakini naungana na Sn2139...........there is more than what we hear!
 
Huyu jamaa ni mbabe kiivyo mpaka anakomaa kungoka kwa madaraka.
Yatawakuta CCM haya 2015 WAJIANDAE
 
Sijajua suluhisho la demokrasia ya uchaguzi ni nini haswa katika nchi zetu za kiafrika!
Pole sana Quattara......Hiyo ndio Afrika baba!
 
Najaribu kuwasiliana na rafiki yangu huko cote d'ivoire; nitamwomba atoe majibu kwa kifaransa ; lugha anayoielewa vizuri na naomaba wadau wa ki french hapa watusaidie kutafsiri! Lakini naungana na Sn2139...........there is more than what we hear!

Maskini jeuri vp jamaa yako kashakupa update?
Mimi ni mtaalamu wa kifaransa so nitatafsiri tuu.
 
Back
Top Bottom