Torch
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 1,205
- 1,139
wakuu nakuja mbele zenu nikiwaomba mnisaidie ni aina gani ya digital camera ni nzuri. Ili nitakapo enda dukani nisiingie mkenge.
pamoja na hilo si vibaya mkiweka na bei ya camera hiyo.
..........
msaada.wenu ni muhimu kwasababu nimeshawah kuingia mkenge kwa kununua camera.ya samsung.imeandikwa 12mp na hapohapo ikiwa na picha mbovu, zilizozidiwa na hata simu yangu.