Afro-Arabica
JF-Expert Member
- Aug 27, 2013
- 1,107
- 493
Mkuu Apple; Ahsante kwako mimi nilinunua mwezi may mda umepta.... ni bora uende Mlimani Mall au Quality Plaza au BenMkapa Towers hapo FONESHAKE wao watakuwanazo.Afro-Arabica Unaweza kuainisha na bei za kila Camera
Nikon D3000, D3100, D5100= sh?
na Canon EOS600 = sh ngapi?