Siyo jibu sahihi, katika biashara kubali kuambiwa ukweli na mara nyingi fuatilia. Matofali ni mengi kama ya kombe jirani. Yenu yenye matundu ni safi sana ila bei na wafanyakazi wenu shida tupu.Anaezingatia ubora anajua,KARIBU.
Siyo jibu sahihi, katika biashara kubali kuambiwa ukweli na mara nyingi fuatilia. Matofali ni mengi kama ya kombe jirani. Yenu yenye matundu ni safi sana ila bei na wafanyakazi wenu shida tupu.
Lakini ghali sana na wafanyakazi wenu nyodo zinawazidi
Quality ndio kitu cha msingi,kama unataka za kawaida unatengenezewa kadri ya mahitaji yako!Wafanyakaz wetu ni wakarimu sana,nna uhakika haujafika,NJOO UTAKUBARI,KARIBU.
Anaezingatia ubora anajua,KARIBU.
ni kweli naona hii kampuni ina wafanyakazi wenye nyodo maana hata majibu unayo jibu yamejaa dharau!!!Asante mkuu,wewe unafahamu site yetu iko wapi?Usiharibu biashara kwa kusingizia vitu kwa kuwa wewe pia unauza,tushindane kwa ubora,KARIBU.
Nilifika pale nakujua sana maana nilikuwa natafuta matofali yenye uwazi. Lakini hata wao niliwaeleza makosa yao. Marketing ni shida kwetu waswahili.ni kweli naona hii kampuni ina wafanyakazi wenye nyodo maana hata majibu unayo jibu yamejaa dharau!!!
Nilifika pale nakujua sana maana nilikuwa natafuta matofali yenye uwazi,ila Lakini hata wao niliwaeleza makosa yao. Marketing ni shida kwetu waswahili.
it caught my attentionNOTED
'halaal co ltd'
You know what everybody thinks of your brand name.Don't beat around the bush,say what u think,KARIBU.