Qualifications Za kujiunga na JWTZ

Qualifications Za kujiunga na JWTZ

Anayejua vigezo vya afya ni nani ili atuambie kwa undani?
 
Mkuu kigezo cha umri wamewapa nafasi hadi umri wa miaka 33. so ni muda mrefu sana wametoa ni nafasi za wataalam hapo huajiri ma engeneer, daktari, wanasheria na taaluma zingine unazozifaham.

Syosaamenye Hivi wenye masters wanachukuliwaga hapo.
 
bunduki haiitaji masters

Kijana we unajua jeshini ni bunduki tu eeeeh!!Ha ha ha ha ha, hayo ma radar yanayo trace signal na mambo makubwa makubwa kimawasiliano na Avionics hayaendeshwi bila ujuzi.
 
jamani sie tuliona matatizo ya macho(wavaa miwani) je tunahitajikja huko au?
 
Anayejua vigezo vya afya ni nani ili atuambie kwa undani?
kuhusu afya usiwe muathirika wa ugonjwa wa ukimwi, ucwe na oparesheni, ucwe na disability yeyote ile ambayo itadhuru upigaji kwata na ushikaji bunduki izo ndio major zingine ni minor sema tattoo yeyote ile ya aina yeyote ila sehemu yeyote ile ya mwili haitakiwi kabisa kabisa na wavaa herini kwa wanaume
 
Back
Top Bottom