Labda niwaambie tu kwamba,kazi ya tcu ni kuchuja majina ili kupata wale wenye sifa za kusoma vyuo vikuu,then majina yanayokua na sifa hupelekwa kwenye vyuo husika ambako muombaji aliomba,hvyo vyuo vitachagua wanao wataka kulingana na uwezo wa chuo husika pamoja na qualifications miongon mwa waliochujwa toka tcu,so wewe unaesema umequalify bt umeandkiwa hujaqualify,me naona ni kwa sababu mayb chuo ulicho omba kudahiliwa na kozi uliyo omba zimejaa ndo maana wameamua kuwaambia hvo.over