asante kwa maelezo yako senetor,kwa hiyo nisipate presha ya kufanya changes sio?
nadhani mpaka wamekuandikia qualified,that means umetimiza vigezo vyao wanavovitaka ikiwemo cut off points,so umeingia moja kwa moja kwenye list ya wanafunzi wao watakao waweka kwenye selection process,hvo basi hauna haja ya kufanya changes zozote coz tayari una uhakika wa kuchaguliwa kati ya udsm au sua.hayo ndo mawazo yangu mdau.
Mimi nina tatizo nilikua nimewekewa notqualified kwenye bachelor ya business administration in marketing at Mzumbe lakini nime qualify the same Course at University of Arusha ..now nimeziinterchange ya university of Arusha nimeweka ya pili ya mzumbe ya tatu kwenye choices sasa inaandika nimequalify mzumbe sija qualify university of Arusha
Du heli yenu mi mwenzenu tangu jana inaniambia checking in progress........ sijui mwisho ni lini
Du heli yenu mi mwenzenu tangu jana inaniambia checking in progress........ sijui mwisho ni lini
Na je,kama hata hizo utakazo badilisha utakuwa not qualified,watakujulisha hapohapo ama?
Mimi nina tatizo nilikua nimewekewa notqualified kwenye bachelor ya business administration in marketing at Mzumbe lakini nime qualify the same Course at University of Arusha ..now nimeziinterchange ya university of Arusha nimeweka ya pili ya mzumbe ya tatu kwenye choices sasa inaandika nimequalify mzumbe sija qualify university of Arusha
Saivi wana andika ELIGIBILITY STATUS yaani "ELIGIBLE" au "NOT ELIGIBLE" sasa sijui wanamaana gani???
Ntawa pigia simu niwaulize.
Saivi wana andika ELIGIBILITY STATUS yaani "ELIGIBLE" au "NOT ELIGIBLE" sasa sijui wanamaana gani???
Ivi c muende huko kwenye ofis zao mkawaface direct ili wawape ufafanuzi unao eleweka kuliko kukaa mnaguec tu humu!
Wadau naomba kuuliza je ni lazima uwe qualified kwenye vyuo vyote ulivyoandika? Wat if utakua umequalify vyuo ka viwili ambavyo we ndo unavipenda zaid, je lazma ubadili hvyo ambavyo haujaqualify?
ndio wanakujulisha hapo hapo kama umequalify au not qualified.