Qatar's 2022 World Cup Stadiums

Da FaizaFoxy,

Salaam -

nisamehe huu ni mshawasha wangu tu, je kuna uhusiano wowote kati ya kuwa muislam na kupendezwa zaidi na maendeleo ya mataifa ya kiarabu kuliko ya pahala pengine? Nina maana kuwa sidhani kama miaka mi4 iliyopita ulituonesha michoro ya viwanja vya Brazil 2014.............

Asante.
 
Last edited by a moderator:
Ndo maana UK wanahasira kweli na Qatar hahaaaaaa...hongereni Qatar hongereni waislamu
 

Miaka 4 iliyopita sikuiona hiyo michoro ya Brazil, isitoshe, nimevutiwa na hii ya Qatar kwa sababu maalum, yenye fundisho kwetu kwa wenye kuelewa.

Kwa kuongezea tu, tazama michoro imetoka sasa, world cup ya Qatar ni mwaka 2022, sasa wewe kwanini ufikirie kuwa michoro ya viwanja ya Brazili ilifanywa miaka 4 iiyopita? nadhani ilikuwa kabla sana ya hapo, pengine hata JF ilikuwa haijaanzishwa.
 
Miaka 4 iliyopita sikuiona hiyo michoro ya Brazil, isitoshe, nimevutiwa na hii ya Qatar kwa sababu maalum, yenye fundisho kwetu kwa wenye kuelewa.
Mfumo Kristo unaingia kwa kasi sana kwenye nchi za Kiarabu zenye majority Muslims, mpira ni Haramu kubwa
 
waislamu wengi hupenda kujinasababisha na waarabu,we nenda zanzibar kuna wadada hawana hata chembe ya uaharabu atakwambia bibi yake mwarabu kisa ana weupe kama wangu tu,wengejua walitakiwa kuwaangalia kwa jicho la pili kwa kuwafanya watumwa
 
Hivi hamuwez ku argue kawaida tu bila kuingiza dini!!?.aarg.

Kwani unawashwa nini ninapotaja waislamu? Wewe ni mgalatia tuache waislamu tuandae kombe la dunia nyiemendeleeni na kesi zenu za child molestation na ubakaji kule vatican
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…