Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,522
- 24,010
Katika kile kinachoonekana ni tabia zile zile za baadhibya Mataifa kuendeleza ubaguzi kupita kiasi wafanyakazi wanaojenga viwanja vya michezo Qatar kwa ajili ya mashindano ya Kombe la Dunia wamelalamika kufanyiwa vitendo vya unyanyasaji mkubwa ikiwa pamoja na kunyang'anywa pasi zao za kusafiria ili waendelee kutumika pasipo hata idhini yao. Habari zaidi tembelea BBC