Hapo umeongea point nzito na wengi hapa wana macho, na wanasoma lakini hawatafahamu...xDWapeletina wanarusha mawe, waisrael wanajibu kwa vifaru na madege....mbona hawa marekani hawaonei huruma na kuwasaidia kama walibya.......Mwenye macho haambiiwi tazama
$575,000....... unajua gharama ya TOMAHAWK (kombora) moja !? .......... hayo yote yanafanywa kwa mapenzi juu ya Walibya ? .......... wacha kuuliza maswali kibwege !:tongue:
Hizo grad missiles zinazorushwa kutokea gaza strip zimetengenezwa kwa mawe?Wapeletina wanarusha mawe, waisrael wanajibu kwa vifaru na madege....mbona hawa marekani hawaonei huruma na kuwasaidia kama walibya.......Mwenye macho haambiiwi tazama
Shule gani hiyo unayozungumzia.Vichwa vyenu ni maji sana.Hata mkisomeshwa hamuelewi kitu.
Jambo lililopo hapa ni kuwa wakristo ni watu majambazi sana na waharibifu wasio na haya.Ni waongo na waporaji wa kimachomacho.
Zile nchi nyingi za kiarabu bado ziko kwenye ukoloni halisi wa Marekani,Ufaransa na Uiengereza kama tulivyo sisi hapa.
Ukisikia Qatar imeamua jambo ni uamuzi wa wenyewe wakristo wakoloni.
Kule ghuba watawala wa kweli wa nchi zao alikuwa Saddam,huyu Gaddafi na Ahmednejad.Wakimalizwa hao hukumu ya Mungu itaamua nani atawale.Tutaanza kuyaona Libya,Misri na Yemen.Ukoloni wa kikristo huko hautarudi tena.
hiki ndio kinachowapa taabu-kama wanaweza wajisafirishe wakamsaidieMkuu si unajua mambo ya mheshimiwa tumbo, wengi wanajua Gaddafi akiondoka basi na misaada itakauka. Njaa mbaya sana.
Ndugu yangu uwache kuwa kipaza sauti cha mabeberu,ni aibu kwa heshima yako.Ndugu uache ushabiki wa simba na yanga. Nadhani wewe unapelekwa tu na upepo, huyo Saddam unayemsifia hujui historia yake? Hujui alikuwa kibaraka wa USA?
Ni Vizuri ukasoma na kuijua siasa ya kimataifa, huwezi kujua undani lakini kikubwa kwenye dunia hii hakuna na hakutakuwa na haki sawa, mwenye nguvu ataongoza siku zote. This time is USA, next may be China then Russia will come back wote watakuwa sawa na utawalaumu tena kama unavyolaumu USA.
Napenda pia kukupa angalizo, Japo mara nyingi waislam wanasema ndugu zetu waislam lakini kamwe hakuna usawa. Uislam wa UAE na wa Bongo ni tofauti kabisa, mimi nipata bahati angalau ya kutembelea hizi nchi ikiwamo Saudi ambayo ni source ya imani lakini wale ni tofauti kabisa, huwasikii kama wenzetu hapa bongo au nchi masikini...eti waislam wenzetu Libya etc....wao wana fight for their life, then mambo mengine yanakuja.
Kwa nini waislam wa Tanzania wasipigie kelele na kufanyia kazi matatizo ya nchi yetu? Mbona kuna waislam hapa nchini wananyanyasika na viongozi wetu, tena hata waislam wenzao, na sio USA? Kwa nini msiwanyooshee hao vidole kwanza ili maisha yetu yawe mazuri then tutakuwa na nguvu ya kutetea wengine walio mbali? Bila ya kuwa na Taifa lenye nguvu unafikiri tunaweza kubadili kitu chochote?
Kwanza unatakiwa kufahamu Israel ni nchi kihalali kabsa-na kulingana na imani yangu pia israel ni nchi(soma Joshua 1.1-18)na kwa sababu hii ndo maana hakuna nchi inayomlaumu israel-hao wanamtupia lawama hawajui historia vizur-wapalestina si kwao pale-............. kwa nini tusikushangae wewe !? ........... ndani ya nafsi yako unaamini kabisa kuwa Wa Amerika wana mapenzi ya dhati na Walibya ? kwa nini watu wa "Msalaba" ndio mabingwa wa kuhangaika na Waarabu na Uislaam ? katika dunia hii wanafiki na vibaraka huishi kutegemea fadhila za mabwana zao, na wanaujasiri wa kutekeleza matakwa ya bwana zao bila kuhoji ! ................. Iraq walizipata silaha za maangamizi ? ............. Wapalestina wanarusha mawe, Waisraeli wanarusha ndege na kupiga mizinga kwa vifaru (Tanks) na hakuna azimio hata moja la UN Muisraeli amewahi kuliheshimu, nani anapaswa kulindwa hapo !
hapo kwenye red-unauhakika na hicho unachosema-au unafwata mafundisho ya walimu wako wa dini walokueleza hivyo?Ndugu yangu uwache kuwa kipaza sauti cha mabeberu,ni aibu kwa heshima yako.
Ngoja niachane na ngonjera zako za historia ya Saddam ambayo kwa akili yako unaona alikuwa mkosa kuliko USA waliovamia nchi yake na hatimae kumuua.
Kuhusiana na uislamu wa Saudia na Tanzania nakuonya usijipe mamlaka ya kutaka kuwatungia na kuwachagulia waislamu aina ya uislamu unaoutaka wewe.Kutembelea kwako nchi za Arabuni kamwe hakukupi mamlaka hayo.Na kwa jinsi ulivyo wala huwezi kukutana na watu watakaokuonesha uislamu hasa ni upi.Mbona sisi tukienda hatupati hiyo picha unayoisema wewe?.
Kuhusiana na hali zetu Tanzania inaelekea upo kwenye usingizi mzito,vyenginevyo unachozungumzia huko makini nacho.Angalia jinsi waislamu tunavyopinga mfumo kristo nchini ambao ndio unaokumbatia ufisadi na dhulma.Hivi hujui kwamba matatizo yetu makubwa yameletwa na mabilioni ya fedha zetu zinazokombwa na kanisa?.
hapo kwenye red-unauhakika na hicho unachosema-au unafwata mafundisho ya walimu wako wa dini walokueleza hivyo?
je hawa yemen,tunisia,egypt n.k ambao waliandamana na wengine wanaandamana mpaka sasa kwa sababu ya matatzo nayo yaliletwa na kanisa?
mtakuwa mnapinga mfumo kristo-ila hamtaweza kuutoa maana ndo mfumo wa dunia-labda mjitoe kwenye hii dunia ndo manweza kufuata mfumo wenu-hatuwez leo hii kurud miaka ya 1000 na kitu-wakati watu wapo 2011
Tafuta sources usome kwa nini tz haindelei-utoe hio sumu ulionayo
Ami-naweza kuwa ninayaelewa vizuri zaid yako-hizo bilion 112 zilizolipwa kwa kanisa umefwatilia ni za nini?na serikali imelipa kwa nini?tambuakuwa serikali intumia vitu vingi vya kanisa ndo maana lazima wawalipe hizo helaKuhusu hili walimu wangu hawawezi kuwa na jibu la uhakika kuliko raisi wetu na walinzi wa hazina ya taifa.Juzi raisi aliposhiriki kusimikwa kwa askofu huko Dodoma alisema jumla ya sh.bilioni 112 zimeshalipwa kwa kanisa katika mwaka uliopita na nyengine zitaongezwa kwenye bajeti ijayo.Unadhani matatizo yetu yataondoka kwa ufisadi wa namna hii.
Edwaarad utakuwa wa maana kama utazungumzia mambo unayoyaelewa vizuri.Hili la lini mfumo kristo utaondoka bora kaa kimya tu.Muhimu ni kwamba waislamu wa Tanzania hawakulala kama wenzako walivyoashiria.Wanaona ya Libya,Yemen na hata Afghanistan ni kitu kimoja na ya kwao.
Haya basi next Friday wbongo waandamane tena kuilaani Qatar pia. Sio kuandamana kuipinga US pekee.
Halafu mbali ya kuandamana ingetangazwa na maimamu woote hapo Dar wawaambie wabongo wote wenye ndugu jamaa na marafiki wanaoishi USA, UK, Denmark, Dubai (UAE), Canada na nchi zoote zilizohusika kwenye uvamizi wa Libya warudi nyumbani. Waislamu wote wabongo wanaoishi nchi hizi waondoke asap.Msusie hela zote mnazotumiwa via Moneygram na Western Union toka kwa jamaa zenu wanaoishi ktk nchi hizo. La sivyo ndio yale yale baniani mbaya......tuache unafiki na kufuata mkumbo
Ami-naweza kuwa ninayaelewa vizuri zaid yako-hizo bilion 112 zilizolipwa kwa kanisa umefwatilia ni za nini?na serikali imelipa kwa nini?tambuakuwa serikali intumia vitu vingi vya kanisa ndo maana lazima wawalipe hizo hela
vitu nya kanisa ni vingi saana-mfano mdogo sana ambao naweza kupa-wilaya ya muheza haina hospital ya wilaya-serikali inatumia hospital ya kanisa kama ya wilaya na kuwalipa wafanyakazi wake wote ambao ajira zao zpo kwa kanisaNi yale yale niliyosema awali!.Usomi wenu ni kazi bure,hauwafai wenyewe wala mwengine yeyote.
Serikali yenye vitega uchumi tele mpaka vyengine vinafanyiwa ufisadi ina haja gani ya kutumia vitu vya kanisa?.Ikifanya hivyo ni kwa kujuwa kuwa ni vyake.Si yenyewe ndiyo iliyotoa pesa kuvinunua na kuvianzisha!.
Afadhali waislamu tuna Ghadhafi,Saudia na wengineo.Hata ikiwa ni makombo waliyokula pamoja na Amerika,US na waroho wengine tukipewa tunapata pa kuhemea.Ha ! nyinyi wakristo nani atawaletea na Vatican hakuoti hata muhogo.
Ukiona vitu vya kanisa ni vingi basi ujuwe pamepita ujambazi mwingi kuvipata kama huo wa kunyan'ganya bila haya kutoka hazina za taifa.Hapa kwetu na kwa wenzetu.
kweli we ni vuvuzela. No dought