Qatar Nayo Yaibamiza Libya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Qatar Nayo Yaibamiza Libya

Discussion in 'International Forum' started by VUVUZELA, Mar 25, 2011.

 1. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Qatar becomes 1st Arab country to fly over Libya

  [​IMG]
  Reuters – Nato to police Libya no-AP – An armed men stands among Libyan men attending Friday prayers in the main square in Benghazi, eastern …


  By HADEEL AL-SHALCHI, Associated Press Hadeel Al-shalchi, Associated Press – 6 mins ago
  TRIPOLI, Libya – Tiny Qatar became the first Arab country to fly combat missions over Libya on Friday after NATO agreed to take command of the no-fly zone part of air operations against Moammar Gadhafi's regime.
  French and British jets struck Libyan military targets around a besieged eastern city, as talks in the Ethiopian capital to find a way out of the crisis produced a statement from the Libyan government delegation saying his country was ready to talk with rebels and accept political reform, possibly including elections.
  It not immediately unclear what was behind the offer from Libyan negotiator Abdul-Ati al-Obeidi. Rebels, who were not at the talks, say they will not negotiate with Gadhafi.
  The Qatari fighter jet flew its first sortie alongside a French jet on Friday and the United Arab Emirates pledged 12 warplanes to the effort to thwart Moammar Gadhafi. The international effort has no other countries from the Arab League, a 22-member group that was among the driving forces behind the U.N. Security Council decision to impose a no-fly zone over Libya.
  "Qatar has been a great ally from Day One," said Mustafa Gheriani, spokesman for opposition Benghazi city council. "It's an Arab country to be proud of."
  The United States has provided millions of dollars in equipment to many of the league's countries, including Saudi Arabia and Jordan.
  "Having our first Arab nation join and start flying with us emphasizes that the world wants the innocent Libyan people protected from the atrocities perpetrated by pro-regime forces," U.S. Air Forces Africa Commander Maj. Gen. Margaret Woodward said.
   
 2. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mh kazi ipo pale Libya.
   
 3. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mkuu huu mziki wa Libya una mambo!
   
 4. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  nashangaa hapa kwetu tz eti watu wanaandamana waislamu wanaonewa-hawa wa-qatar ni dini gani-kama si ufinyu wa uelewa wa hawa watu wetu
   
 5. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  032511-ap-qatar-libya-800.JPG
  Dege moja la kijeshi la Qatar linajitayarisha kuruka toka kwenye uwanja wa Larnaca, Cyprus.
   
 6. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2011
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nina uhakika kuna mataifa mengine ya kiarabu yanashiriki kwenye hili nyuma ya pazia.
   
 7. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  ndo ujiulize hapo mkuu. Kukosa shule bora ukose kingine jameni!
   
 8. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Tena mziki huu unatumia gitaa la nyuzi kumi na mbili, kama lile la Ndala Kasheba (wa Orchestra Safari Sound enzi hizo), alilokuwa analiita kombora!
   
 9. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2011
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu si unajua mambo ya mheshimiwa tumbo, wengi wanajua Gaddafi akiondoka basi na misaada itakauka. Njaa mbaya sana.
   
 10. Kitumbo

  Kitumbo JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 547
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Qatar, Saud Arabia, Jordan na Kuwait ni nchi za kiarabu zinazotawaliwa kimtindo na USA. katika hili USA inaweza kuziamrisha chochote zitafanya kwa maslahi ya USA huku viongozi wa nchi hizo wakiahidiwa ulinzi na USA. Hushangai kwanini Nchi zote hizo ni za kifalme lakini watu hawapingi uongozi tena wala hazina ustawi kama ilivyo Bahrain, Libya na Oman.

  Cha muhimu kuelewa ni kwamba sisi ni tofauti kabisa na nchi kama Libya, Syria nk. Sisi tayari tupo chini ya himaya ya USA na wanachotaka wanapata wakati wowote hivyo hatuna issue... hata tukianza kupigana kama wanavyofanya Ivory Coast watatuacha tuuane ali mradi hatuingilii mikataba ya madini. La kama tunataka tuwe kama Libya tuchague "kiongozi mwehu" ambaye atafuta mikataba yote ya madini na kuiweka chini ya wananchi tuone.

  Unadhani msimamo alokuwa nao Nyerere kama ungekuwepo hadi leo tungeendelea kuwa na amani mh! sorry!! kuwa wapole hivi?
   
 11. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Haya basi next Friday wbongo waandamane tena kuilaani Qatar pia. Sio kuandamana kuipinga US pekee.
  Halafu mbali ya kuandamana ingetangazwa na maimamu woote hapo Dar wawaambie wabongo wote wenye ndugu jamaa na marafiki wanaoishi USA, UK, Denmark, Dubai (UAE), Canada na nchi zoote zilizohusika kwenye uvamizi wa Libya warudi nyumbani. Waislamu wote wabongo wanaoishi nchi hizi waondoke asap.Msusie hela zote mnazotumiwa via Moneygram na Western Union toka kwa jamaa zenu wanaoishi ktk nchi hizo. La sivyo ndio yale yale baniani mbaya......tuache unafiki na kufuata mkumbo
   
 12. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  lakn kweli bongo njaa 2 na kuaanzia sasa hakuna msaada wowte kwni mkwanja wote 2meupeleka vitan simnajua mUSA ha2taki kabsa si wahishi lamu GOD BLES LIBYA GOD BLES AFRIKA ALLAH IBARIK ISLAM RELIGION
   
 13. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Shule gani hiyo unayozungumzia.Vichwa vyenu ni maji sana.Hata mkisomeshwa hamuelewi kitu.
  Jambo lililopo hapa ni kuwa wakristo ni watu majambazi sana na waharibifu wasio na haya.Ni waongo na waporaji wa kimachomacho.
  Zile nchi nyingi za kiarabu bado ziko kwenye ukoloni halisi wa Marekani,Ufaransa na Uiengereza kama tulivyo sisi hapa.
  Ukisikia Qatar imeamua jambo ni uamuzi wa wenyewe wakristo wakoloni.
  Kule ghuba watawala wa kweli wa nchi zao alikuwa Saddam,huyu Gaddafi na Ahmednejad.Wakimalizwa hao hukumu ya Mungu itaamua nani atawale.Tutaanza kuyaona Libya,Misri na Yemen.Ukoloni wa kikristo huko hautarudi tena.
   
 14. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Shame on u, African!!! hamwezi hata kulinda heshima yenu achilia mbali Uhuru, kizazi kichafu kinachowaza kula tuuu, hovyooooo...hamna kingine mnaweza kusema nyie kaaeni mtulie mshabikie Arsenal na Manchester!!! ukoloni umewaingia mpaka kwenye akili zenu....#


  Libya iko Africa kwanini ipigwe na wahuni wanaotaka mafuta halafu afrika nzima iko kimya!!! naamini kizazi hiki kilichojaa majitu maoga kama fisi hakiwezi kuinasua Afrika...hiki ni kizazi cha aibu!!!
   
 15. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2011
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  But do they consider themselves Africans?
   
 16. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  una uthibitisho kwamba wanataka mafuta?
   
 17. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #17
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  ............. kwa nini tusikushangae wewe !? ........... ndani ya nafsi yako unaamini kabisa kuwa Wa Amerika wana mapenzi ya dhati na Walibya ? kwa nini watu wa "Msalaba" ndio mabingwa wa kuhangaika na Waarabu na Uislaam ? katika dunia hii wanafiki na vibaraka huishi kutegemea fadhila za mabwana zao, na wanaujasiri wa kutekeleza matakwa ya bwana zao bila kuhoji ! ................. Iraq walizipata silaha za maangamizi ? ............. Wapalestina wanarusha mawe, Waisraeli wanarusha ndege na kupiga mizinga kwa vifaru (Tanks) na hakuna azimio hata moja la UN Muisraeli amewahi kuliheshimu, nani anapaswa kulindwa hapo !
   
 18. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #18
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  ....... unajua gharama ya TOMAHAWK (kombora) moja !? .......... hayo yote yanafanywa kwa mapenzi juu ya Walibya ? .......... wacha kuuliza maswali kibwege !:tongue:
   
 19. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #19
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  .............. unajua mambo ya millenium challenge account ? ........ USA aid ? hii sio njaa ? mnafikiri kwa tumbo au kichwa ?
   
 20. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Nashangaa kwetu ufisadi, mauaji, utawala wa kibabe,Dowans, Loliondo,Epa, Power tiller, Jamaa hawaandamani leo wanaandamana sababu ya Libya! Kweli kusoma siyo kuhudhuria darasani, mambo mengine ni ya asili! Tupeane pole
   
Loading...