Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,229
Russia ndio makao makuu ya malighafi zote, mafuta, gesi, almas, dhahabu,nafaka, mbao, etc,,Mkuu Msumbiji wenzetu wemeshaanza kusafirisha gas,ni Sisi tu ambao tumezubaa.
Hawa watu wanadhani Urusi ndo mwenye Gas Peke yake hawajui kama huko duniani watu wanahangaika na fursa hivi sasa kila nchi yenye gas inatolea macho soko la Ulaya, Israel imeanza kuchimba gas,Canada,Australia,Norway,USA,Qatar,nk huko kote wanahaha kuongeza uzalishaji miaka mitano ijayo huyo Mrusi tutaona kama ataendelea kua na jeuri na hiyo Gas yake.
Opec karibuni wanakata tena uzalishaji pipa milion 2 kwa siku, maana yake mafuta yatashoot,, hiyo peke yake inaipa Russia advantage,
Qatar yuko na Russia, ndo maana kamvuta germany kumps gesi hadi 2026,, anajua hadi miaka hiyo ifike pataeleweka,
Waarabu washajua nchi za magjaribi zinakugeuka mda wowote,
Biden alifunga safari kwenda saudi arabia kuomba opec wasishushe uzalishaji,, king wa saud akagoma na akawa hapokei hata simu za mzee Biden😁