Qatar air

Mi nadhani ni kwa sababu ya idadi ya watu linaobeba... Nililipanda toka Doha kwenda India ambako wanakuja watu wengi sana tofauti na Doha kwenda dsm!
 
we unasema mkaa........ulisikia helicopter moja ya geshi ilianguka.....ilikuwa na mpaka mbuzi ndani yake.....chezeiya bure wewe..........
ilikuwa ni mwendo wa....wee....lete tu afande....hapa kitaenea.......si hapo Dar tu tunaenda........

ha ha ha ha haaaaa:A S 109:
 
Sidhani kama wanazuia kuchukua earphones, zikishatumiwa na mtu mmoja zinakuwa damped. Mimi mwenyewe huwa nazibeba. Uchafu wa masikioni ni kikwazo kuzifanya ziwe za users wengi, ndio maana kila ukiingia unafungua mpya kwenye karatasi

Hapan....mnapokaribia kuland wanazikusanya na zinaenda kuwa 'disinfected' kabla ya ktumika tena. Wewe utakuwa uliiba....:focus:
 
Zipo sana hapo shamba la bibi Emirates wanaleta sana

Si airbus peke yake, hata Boeing 777 walianza siku nyingi kuweka screen nyuma ya kila kiti. British Airways walikuwa wanaleta 777 Dar kwenye miaka ya mwanzoni 2000 na KLM wanatumia 777 mpaka sasa pia wana screen kila kiti.



Zinawekwa screen zote bana! Nakumbuka nilikuwa naangalia zaidi radar wakati abiria wengine wanaangalia movies. Hata zinazotua bongo zina screen kwenye kila kiti, na ushahidi ni kuwa earphones zake niliteremka nazo nje

well noted....thank you.....
siku nyingine nikikata tikiti.....nitadai ndege yenye screen....kila kiti......wallah tena........

Preta
Retired Air Hostess
Virgin Atlantic and Lufthansa
 
yah....airbus.....na ni kutoka Doha kwenda sehemu zingine za dunia.....hii haiji huku uswazi...........


Na ukweli huku ni uswazi, maana zile Qatar Airways za Dar-Nairobi-Doha hata fastjet inazipiga bao labda vile viscreen vya kwenye viti tu ndiyo cha kujidaia.
 
Na ukweli huku ni uswazi, maana zile Qatar Airways za Dar-Nairobi-Doha hata fastjet inazipiga bao labda vile viscreen vya kwenye viti tu ndiyo cha kujidaia.

Hakuna Qatar ya Dar to Nairobi....Qatar inakuja Doha to Dar to Doha mara mbili kwa siku na ni kila siku...wanaleta A319/320/321....
 

well noted....thank you.....
siku nyingine nikikata tikiti.....nitadai ndege yenye screen....kila kiti......wallah tena........

Preta
Retired Air Hostess
Virgin Atlantic and Lufthansa


Pigia mstari Mama wakuelewe, maana walivyokushukia...!
 
we unasema mkaa........ulisikia helicopter moja ya geshi ilianguka.....ilikuwa na mpaka mbuzi ndani yake.....chezeiya bure wewe..........
ilikuwa ni mwendo wa....wee....lete tu afande....hapa kitaenea.......si hapo Dar tu tunaenda........

Dr kuna mida huwa una visa wewe....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…