Qatar air

Nilikuwa nataka niipande kutokea huku kwenda tarakea,kwani haifanyi safari hizo?
 
sijawahi kuiona....ninazoonaga ni boeing za kawaida tu.....ambazo mnashare screen.......sio kila kiti na screen yake........

Preta? Juzi nimeipanda Boeing 777-37 ER toka Doha mpaka hapa inavyo hivyo visikirini bana........ila kuna mzee nilimuona anaiba airphones nikajisikia aibu sana

Hili hata likikaa huko juu hakuna kusikia kitu inaitwa turbulence...ni kimya kimya mpaka linakaa chini, kiukweli lina raha sana sana..hata wale waoga wa ndege wanarelax kabisa...
 
Usimdanganye mtoto wa watu.... we si umesema kesho unaenda Tarakea !!??? sasa Carlolina lini tena.
Aione figganigga. mia

Mkuu usijali kwani si nimesema nilitaka?Sikusema ni lini
Halafu huyo Heaven on earth mbona kuku wangu kabisa?
Wala usitie shaka

Kama figganigga anaiba hawezi kufikia mavitu yangu!
 
Last edited by a moderator:
sijawahi kuiona....ninazoonaga ni boeing za kawaida tu.....ambazo mnashare screen.......sio kila kiti na screen yake........
Zinawekwa screen zote bana! Nakumbuka nilikuwa naangalia zaidi radar wakati abiria wengine wanaangalia movies. Hata zinazotua bongo zina screen kwenye kila kiti, na ushahidi ni kuwa earphones zake niliteremka nazo nje
 
Nilikuona.........:A S 39::A S 39::A S 39::A S 39:
 
...ila kuna mzee nilimuona anaiba airphones nikajisikia aibu sana
Sidhani kama wanazuia kuchukua earphones, zikishatumiwa na mtu mmoja zinakuwa damped. Mimi mwenyewe huwa nazibeba. Uchafu wa masikioni ni kikwazo kuzifanya ziwe za users wengi, ndio maana kila ukiingia unafungua mpya kwenye karatasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…