Qaswida ni muziki au sio muziki?

Qaswida ni muziki au sio muziki?

Tatizo hapa ni shule hakuna .hawa watu kila kitu wamekaririshwa tu .wanadhani mziki lzm kuwe na guitar ndo muziki hawajui kuwa hats zl ngoma zao dufu ni ala zile.hawa wamedanganywa kwa mengi sana.
 
Ni kuwaombea tu.
 
hiyo shule unayoisemea wewe ni ipi?
 
Sio kaswida tuu hata ile sauti ya adhana ni muziki kwani naweza kukuchorea nota zake kwa sababu ni melodic
Na huo mziki wa adhana na unapingwa tu kama una melody na nota za kuimbika.
 
Hata kama hauna ala bado ni muziki. Ina maana nikienda studio kurekodi wimbo wangu bila kutumia kifaa chchote cha muziki, hautaitwa wimbo? je ! wewe wafahamu maana ya accappela ? HUO NI MUZIKI UNAOIMBWA BILA ALA YOYOTE BALI SAUTI ZA BIN ADAM TUU.

Kwa mujibu wako na si Kwa mujibu wa uislamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom