Pythagoras Vs Einstein

Bado tunarudi palepale hujui tofauti ya constant na SI unit na hilo ndo tatizo lako.
Lakini Kama umekaza shingo ili usielewe maksudi Mimi ni nani hata nikupinge?
 
"c' is a derived quantity representing the speed of light. It's SI unit is meters per second. "c" is not an SI unit, but a quantity and hence an internationally recognised symbol representing the speed of light
 
"c' is a derived quantity representing the speed of light. It's SI unit is meters per second. "c" is not an SI unit, but a quantity and hence an internationally recognised symbol representing the speed of light
Tunakubaliana Kama 'c' sio SI unit?
 
Tunakubaliana Kama 'c' sio SI unit?
Ulitakiwa ulijue hilo tangu mwanzo. Kwa namna wewe unavyoweza kuni-assess mimi nilivyo, ulitakiwa ujue kuwa nimesema "c" siyo SI unit ila ni symbol iliyokubaliwa kimataifa kuwakilisha quantity nyingine ambayo ni speed ya mwanga. . Nakushauri usiwe unapoteza muda ku-argue kwenye marginals ambazo ziko obvious. That way itakuwa inakuondolea credit za weledi wako kwa sababu utakuwa unaoenekana wewe hujui kumzidi hata yule unayemkosoa
 
Wala hakukuwa na ubaya mkuu fuatilia toka mwanzo nimejaribu kukueleza Bado unakomaa na unavyo amini.
Kwenye zile equations mbili ulizoleta hakukuwa na SI unit. Bali kulikuwa na constant 'c' ambayo ni speed ya mwanga ambayo duniani kwote ni sawa ndio maana ikatambulika kwa herufi 'c'
Vinginevyo ni kwa nia ya kujifunza tu sihitaji credit yoyote kutoka kwako au kwingineko.
Niliona makosa nikarekebisha!
Ila Kama 'c' ni SI unit huko kwenu siwezi kukupinga mkuu wangu.
 
QN: A particle in accelerator tube is being accelerated to a maximum travelling speed of 0.99c. Convert its speed in
(a) Kilometers per hour;
(b) Miles per hour
 
QN: A particle in accelerator tube is being accelerated to a maximum travelling speed of 0.99c. Convert its speed in
(a) Kilometers per hour;
(b) Miles per hour
Hili swali haliwezi kufanya constant iitwe SI unit.
Kila mtu abaki na uelewa wake mkuu inatosha sasa!
 
Naona wanasayansi wa bongo mnashusha nondo, basi gundueni hata kadude kadogo dogo tukatumie.

Au nasema uongo ndugu zangu...
 
Kwa hiyo mnatutisha au mimi mwenyewe ndio najitisha kwa kuwa nimesoma art 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…