Pweza

Boflo

Umenikumbusha kipindi cha ushairi, malenga wetu RTD enzi hizo.

Lugha itumikayo katika ushairi na malenga ni Tafsida kwa kwenda mbele hunipatia wakati mgumu sana kuielewa.
 
Boflo, nilifikiri ni nyimbo yako mupya, maana tumeona bata, samaki, ngedere and so forth.......
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…