Binti Magufuli JF-Expert Member Apr 2, 2011 7,484 5,142 Nov 23, 2012 #2 hahahahaha bofloooooooooo upo weye???na mie nataka pweza basi
Dotworld JF-Expert Member Aug 10, 2011 4,035 3,773 Nov 23, 2012 #3 Boflo ... umeanza kuandika mashairi siku hizi!!!! .... Duh! ama kweli Pweza hatari!! ...
A adolay JF-Expert Member Dec 8, 2011 12,101 14,478 Nov 23, 2012 #4 Boflo Umenikumbusha kipindi cha ushairi, malenga wetu RTD enzi hizo. Lugha itumikayo katika ushairi na malenga ni Tafsida kwa kwenda mbele hunipatia wakati mgumu sana kuielewa.
Boflo Umenikumbusha kipindi cha ushairi, malenga wetu RTD enzi hizo. Lugha itumikayo katika ushairi na malenga ni Tafsida kwa kwenda mbele hunipatia wakati mgumu sana kuielewa.
Mshuza2 JF-Expert Member Dec 27, 2010 11,015 16,447 Nov 23, 2012 #6 Dotworld said: Boflo ... umeanza kuandika mashairi siku hizi!!!! .... Duh! ama kweli Pweza hatari!! ... Click to expand... Mkuu upo?
Dotworld said: Boflo ... umeanza kuandika mashairi siku hizi!!!! .... Duh! ama kweli Pweza hatari!! ... Click to expand... Mkuu upo?
Dotworld JF-Expert Member Aug 10, 2011 4,035 3,773 Nov 23, 2012 #7 Mshuza2 said: Mkuu upo? Click to expand... Nipo Mkuu ... namshangaa Boflo anavyobadilika na kuwa Malenga wetu wa JF Photo
Mshuza2 said: Mkuu upo? Click to expand... Nipo Mkuu ... namshangaa Boflo anavyobadilika na kuwa Malenga wetu wa JF Photo
Shomari JF-Expert Member Mar 8, 2008 1,112 241 Nov 23, 2012 #8 Hhaahahahahahaa! Boflo uko fit kila nyanja. noma!
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Nov 25, 2010 62,204 128,020 Nov 23, 2012 #9 Mrembo by Nature said: hahahahaha bofloooooooooo upo weye???na mie nataka pweza basi Click to expand... hawezagi.
Mrembo by Nature said: hahahahaha bofloooooooooo upo weye???na mie nataka pweza basi Click to expand... hawezagi.
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,864 155,818 Nov 24, 2012 #10 Boflo..... haya bwana pweza Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
MadameX JF-Expert Member Dec 27, 2009 7,792 3,848 Nov 24, 2012 #11 Boflo, nilifikiri ni nyimbo yako mupya, maana tumeona bata, samaki, ngedere and so forth....... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,145 13,216 Nov 24, 2012 #12 duh, sili tena huyu jamaa, mtamu mdomoni, mbaya machoni
Emanuel Makofia JF-Expert Member Jan 5, 2010 3,832 630 Nov 24, 2012 #13 BOFLO.........................pweza huyuhuyu pweza kwi kwi kwi kweli una fani nyingi:cheer2:
Mkuu rombo JF-Expert Member Oct 18, 2012 1,556 422 Nov 24, 2012 #16 aiseeeeee babaangu nikipat supu yake huyo m2 atakimbia na chpi mkononi