Kwa wakazi wote wa Morogoro tunapenda kuwakaribish Pweza Center iliyoko Masika, utajipatia supu ya pweza, chips za mwendokasi, na supu, ya kuku, na vyakula vingine vingi kwa bei poa na huduma zetu zinazingatia usafi wa hali ya juu, tunakuletea popote ulipo 0713689829 na 0718252251.