Pwani: Kiongozi mwingine wa CCM auawa kinyama Ikwiriri

Hawa jamaa sio waungwana kabisa, kwa nini wanaua wananchi masikini?
 
Hivi hatuna makomandoo ambao kama wakina CHUCK NORRIS wanaoweza kuwa infiltrate hao watu..
 
jamani nina mashamba 3 ya ekari 6 nayauza maeneo ya kibiti kama kuna mteja humu nitamuuzia kwa laki tano tu kwa kila shamba
 
Kuna wakati najiwazia Pwani iko Tanzania ama imekuwa Somalia jamani,inatisha sanaaa sio siri, nadhani wenzetu kule hawalali unajiwazia sijui leo itakuwa zamu yangu
 
Kazi kwelikweli, hii lugha ya watu wasiojulikana inakera sasa, inteligensia imeshindwa kabisa?! Tuombe wataal kutoka Rwanda basi na hili.
 
Mie natambua huku kuna ma intelligent kuliko serikali
Tusaidie ili mambo yawe shwari ..
 
Kama kuna watu waliona akijitetea ina maana hawakumtambua muuaji hata mmoja, haya mambo ni ya kufukirisha sana.
Mkuu kwajinsi inavyo onekana huwezi wasogelea hawa watu maana hawapotezi risasi wana shabaha sana sidhani ata askari aliyepewa mafunzo akisha jua uwezo wa adui katika kulenga hawezisogea kizembe maana lazima adui ata kupoteza!!!
 
Naomba mwana Ikwiriri alioko humu aje hapa tutete kidogo labda nitapata picha vzuri manake mmmmh dots zinakua invisible!!
 
Hali inaogopesha sasa tutafanyaje Tayari IGP ameshaongea na wazee wa Kule basi waandike barua za Madai yao kama Alquida au Alshabab tujue wanataka nini?

Ni Ngumu Kukisia wauaji wa Kibiti/Ikwiriri wanataka nini? Ukizingatia serikali huwa haiendi kwa Waganga wa Kienyeji.

Toeni Mikanda ya Video mtueleze mnataka nini?
View attachment 522636

Ukiona hivyo ujue mshashindwa kazi.

Kazi mnayoweza ni kutumbua watu tu.
 
Back
Top Bottom