KERO Pwani-Kibaha: Magari ya mchanga yasiyofunikwa, yanatuathiri watumiaji wengine wa barabara

KERO Pwani-Kibaha: Magari ya mchanga yasiyofunikwa, yanatuathiri watumiaji wengine wa barabara

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Magari yanayosafirisha mchanga au vifusi maeneo ya huku Kibaha hawafuniki kwa turubai wala kusafisha body kuondoa michanga kabla ya kuingia katika lami kama sheria inavyowataka.

Wamekuwa kero hasa ukifuatana naye kwa pikipiki michanga inaingia kwenye macho
 
Back
Top Bottom