Pwani: Askari Wawili wa Usalama Barabarani wauawa kwa kupigwa risasi Kibiti

Maneno yanaisha yani,Rest in peace hazisaidii tena.Faraja haiwezi kuja kwa raia wa Rufiji ambao neno pumzika kwa amani; ni kama salamu kwao.Tutaendelea kusema RIP kama hatua stahiki hazitachukuliwa.na hata Wanarufiji watachoka haya maneno watatuona wanafiki tu.
 
ukiona mtu anapigana kwa hasira hivi anayo sababu kabisaaa na inawezekana ujumbe unatumwa kwa viongozi wakubwa wakubwa ila wanashindwa kusema kwa wananchi maana wao nao wanahusika. amini usiamini kiko kitu nyuma hata mkulu anaweza akawa anajua kabisa
 
The United Republic of Kibiti and Mkuranga.
Bahati tao mimi siyo Magu. Ningeenda huko kuchukua wanawake wote nipeleke segerea halafu niwaambie wataje wauaji bila hivo wauaji ambao ni wanaume wao hawatawaona tena. Ningewaweka pazuri ila genye zingefanya wataje tu na wakiwaza watoto na waume zao wasio nahatia nakuambia ni siku moja tu wangetajwa woooote. Nisingejali kelele za Kijobisimba.
 
nianze kwa kulaani mauwaji ya mtu yeyote asiye na hatia awe raia, police au mmasai. Kingine tunaiomba serikali iweke wazi ni kitu gani kinaendelea ili raia watoe ushirikiano maana siamini kama hawajui nini hao wauwaji wanataka cha tatu police wawe makini sio kuwashikilia watu hovyo ata wasio husika kwani itapelekea recruitment kwa hao jamaa
 
Polisi wanashindwaje track hiyo msg? Hao jamaa walipate namba huyo jamaa?

Hiyo ingukua starting point
 
In short hii inaanza kutilia shaka uwezo wetu kiintelijinsia kwa vyombo vyetu vyote ....haiwezekani eneo dogo la kibiti ifikie hali hii ...huu mzaha ukianza na maeneo mengine? ....Polisi, JWTZ, TISS wapo huko ...nini kinatokea?
 
Likes za nini kwenye hiyo habari ya kusikitisha?.Hawa wauaji ni akina nani?Hawa askari siwafahamu ila wameniuma sana.Wapumzike kwa amani.ISI,Al qaeda,Boko Haram Al Shabab walianza hivi hivi.Serikali isikipuuzie hiki Kikundi kinaweza kusambaa nchi nzima na kutusumbua sana
 
Muda mfupi uliopita askari polisi wawili wa kikosi cha usalama Barabarani Bungu, Kibiti wamepigwa risasi na kufa papo hapo wakiwa kazini eneo kati ya Bungu na Jaribu! Walikuwa watatu, mmoja wa kike kasalimika.

Watu wasiojulikana wamemuua askari wa Usalama Barabarani katika Kijiji cha Bungu B wilayani Kibiti, mchana huu.
Taarifa za kuaminika zilizolifikia gazeti hili zimeeleza kuwa gari la askari hao pia limechomwa moto na kwa sasa vikosi vya ulinzi na usalama vinaelekea eneo la tukio.

Mbali na kupigwa risasi, pia watu hao wamechoma moto gari moja na pikipiki moja za askari hao kisha kutokomea kusikojulikana.

Umakini wa upelelezi kwa taarifa za hapo juu zinatosha kufanya tukio hili kuwa la mwisho. halihitaji FBI wala M15 kufanikisha hilo.
Kama yupo majeruhi hata kwa waswas ataweza kueleza jinsi tukio lilivyofanywa na pia kwa kuwa hawakutumia mabomu kulipua gari na pikpiki ni wazi kuwa halikuwa tukio la pap kwa pap kufanikisha tukio la uchomaji na kuondoka ni wazi tukio lilitumia kamda kidogo kitu ambacho kwa taharuki na mda wa mchana wa tukio lilipotokea angalau pa kuanzia taarifa za uhakika za kuwakamata zinawezekana.
  • Pia mfululizo wa aina wa matukio haya ya kutowadhuru jinsia moja na watoto si sahihi kuconclude kuwa wadunguaji wanatokana mlengo fulani wa kidini kama ingekuwa hivyo matukio mengi yangelenga dini ingine bila kujali jinsia. Kwa jinsia inayouawa wapo wa dini zote na jinsia nyingine inayonusurika pia wapo wa dini zote hivyo kwa mantiki hii ni wazi kuwa wadunguaji hawajihusishi walakufungamana na dini fulani na kuwinda dini nyingine.
  • kwa kuwa wanouawa 99% either ni watu wa chama na serikali au ni watumishi wa serikali katika idara ya usalama angalau unaweza kushawishi kwa kusema kuwa hawa watu wana mgogoro na serikali.
  • lakini pia aina ya silaha wanazotumia zinatosha kupeleka taarifa kwa vyombo vyetu kuwa hii ni trained squad na si kama wanavyofikiria wanaweza wakawa na uwezo wa kiinteligensia na mashambulizi kuliko hata askari wetu walichokosa hawa ni gwanda za serikali tu ili kuwaita tumainio kwa jeshi la serikali.
ipo njia rahisi ya ku deal nao na kuwakamata kama kuku wa kisasa.


BY
F.B.I wa morogoro
 
Kauli za rais wetu nazo zimejaa vitisho tu jana nimeskia anawalaum kibiti kuwa hawana viwanda kisa wanauana wenyewe kwa wenyewe rais yeye ana uhakika gani kama hao wanao waua watu huko kibiti ni wazaliwa wa kibiti ama ni raia wa tanzania? Kitendo cha kuwachukulia wakaazi wa kibiti wote kama wauaji sio busara!
Hili ni Tatizo lingine tena mkuu.
 
Back
Top Bottom