Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,077
Mkuu naunga mkono hoja, watangazaji wa zamani walikuwa na vipaji na pia nadhani walipata mafunzo yaliyojitosheleza kufanya kazi hiyo.
Na Ezekiel MalongoMkuu naunga mkono hoja, watangazaji wa zamani walikuwa na vipaji na pia nadhani walipata mafunzo yaliyojitosheleza kufanya kazi hiyo. Ni nadra kupata watangazaji kama David Wakati, Jacob Tesha, Ben Kiko nk katika zama hizi.
Ben Kiko yuko Tabora, na kuna kipindi alikua Coordinator wa Redio Free Africa mkoani humo na akawa anarusha baadhi ya matukio lkn kwasasa naona kimya inawezekana na uzee nao umeisha mnyemelea.
Fika ofisi tbc na radio zao, utapata.
Ben Kiko yuko Tabora, na kuna kipindi alikua Coordinator wa Redio Free Africa mkoani humo na akawa anarusha baadhi ya matukio lkn kwasasa naona kimya inawezekana na uzee nao umeisha mnyemelea.
Ni kweli mkuu hata mimi nilimsikia redioni kwa mara ya mwisho mwaka jana nilipokuwa safarini Tabora, yuko kwenye Radio ile ya Msomali (Maha-Rage siyo mboga) pale Tabora kama Mkurugenzi. Ila kwa sasa hivi sijui kama bado yupo.
Watu kama huyu Ben Kiko wangekuwa ndiyo asset za TBC kwa sasa kufundisha watoto. Elimu ya practical ni imara kuliko ya vitabuni ujue. Huko Tabora yupo under-employed kwakweli. Kuna stori moja kama naikumbuka vizuri aliisimulia kuhusu Fisi mmoja sijui alivamia nyumba moja pale Dodoma sijui ikawakawaje; alimgeuza yule fisi akawa kama mtu vile kuelezea alichohisi ndizo zilikuwa fikra za fisi. uuuuu it was very funy. Akawa unasimulia na wewe unakuwa kama unamuangalia kabisa yule fisi. Haya...TBC wamemtelekeza huyo Ben Kiko eti yupo Tabora! Rudisha Ben Kiko Dar es Salaam awe ana-mentor hutu tutoto twenu twa dot.com. Sijui Mirad Ayo sijui nani....
Fika TBC NYERERE ROAD utapata hizo sauti
katika mfumo wa kanda wanauza hata
zilipendwa. Nchi hii full usanii
hao wstangazaji wametupwa km galasa
Ona Samadu Hassan(Mzee wa pangu Pakavu)
anapiga mzigo vizuri pale STAR TV
alipita RTD&DW UJERUMANI
Umeonaa eh?sio wale ma ripota fulani na lafudhi zao za kijinga "....miiiiimi mtangazaji wakooooooo! puuuuumbavuuu bin bwegeeeeee! wa aaaaaiiiiiiitiiiiiiii viiiiiiii! yaani huwa nachefukwa na roho na watu haokupita maelezo sijui lahaja au lafudhi ya wapi ile!
Ni mimi ufooo saroo wa aitiviii(kwa sauti ya chadema)