GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,006
- 126,388
Kama kuna Kitu ambacho Rais wa Uganda Yoweri Kagua Museveni na Mkuu wa Majeshi wa Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba hawataki kukifanya na kamwe hawatokuja kukifanya Abadan ni kuikosea Adabu Tanzania ambayo kwa 95% Jeshi lake la JWTZ (TPDF) ndiyo limehusika kutoa Mafunzo kwa 80% ya Wanajeshi wengi wa Uganda tokea mwaka 1986 na hata baadhi ya Maofisa (Wakufunzi) wake kuendelea Kufundisha maeneo fulani fulani Askari wa Uganda wa UPDF.
Hakuna Wanajeshi wowote wa Uganda (UPDF) waliotumwa nchi ya Tanzania kutekeleza jambo lolote lile. Nimemaliza.
Hakuna Wanajeshi wowote wa Uganda (UPDF) waliotumwa nchi ya Tanzania kutekeleza jambo lolote lile. Nimemaliza.