Putin Threatens to Release Satellite Evidence of 9/11

Putin Threatens to Release Satellite Evidence of 9/11

Watu humu visukari vinawapanda utazani mzaliwa huko marekani, au chip mlizopandikizwa sasa zafanya kazi?....... mtazamo tu mim napita...........
 
Mie nadhani Putin anajua anachokifanya....! Wengine hapa hata kwenye ulinzi jamii hatumo....lakini leo tunahoji kwann putin hakutoa hizo picha hapo kabla....walijua vyema lini hasa wa kutumia hizo data kwa faida ya russia...haikuwa na maana kuimbua u.s.a just kwa ajili ya kuumbuana tu.

That ryt
 
Wengine mmeelewa hii article au mnapiga kelele tuu??
 
Mkuu, najua labada ulihusika vilivyo kwenye vita hiyo, lakini that is how the war games work! Business, blackmailing etc.Kuwa na amani. The bear is stronger. Na rafiki ambaye at least anacheza fair game kwetu ni russia na siyo marekani. Hicho ulichoongea marekani ndo michezo yake worldwide.
Mkuu nimeipenda post yako! Mimi sina mahaba na nchi yeyote zaidi ya Tg! Lakini ukienda chini ya capert bado mmarekani ni super super super Power kwa dunia ya leo! Ukiiangalia urusi mara zoote imeshindwa kuwasaidia washirika wake!; sababu kuu ni wengi wa wataalamu wake ni Wayahudi ambao hawana mapenzi na urusi kwa sababu ambazo hata wewe unazifahamu! Ilaha kila kinacho zaliwa ni chema kuliko kilicho zaa!
 
Mmarekani ni mnyama sana, sababu kubwa ilikuwa ni kuufuta uislam kwa kuupachika ugaidi, lakini Allah Sub'hanah'wataala, alishasema dini hii atailinda mwenyewe, ona sasa mambo hadharani,wanaweweseka ovyo.

mungu analindaje dini kama yeye mungu kweli? yeye dini ya nini?
 
Wakati U.S inaanzisha NEW DEAL kina Stalin walikuwa wanakomaa na ujamaa kwenye nchi iliyojaa barafu. Ile dhana ya kuwa superpower wa dunia ni ndoto kwa Urusi,hawana mipango,viongozi wao ni vichwa maji hasa Putin kwa miaka mingi.
 
Wakati U.S inaanzisha NEW DEAL kina Stalin walikuwa wanakomaa na ujamaa kwenye nchi iliyojaa barafu. Ile dhana ya kuwa superpower wa dunia ni ndoto kwa Urusi,hawana mipango,viongozi wao ni vichwa maji hasa Putin kwa miaka mingi.

Tupe ushahidi kama Russia alikuwa anagombea u super power.
 
kuna clip niliangalia nikashangaa snaa...kuhusu hiyo sept 11...jeshi la Marekani lilipewa taarifa kuhusu hizo ndege na hata wale airhostess walifanya juhudi kubwa kuwasiliana na hao jamaa waliòkua airport lakin jeshi la Marekan halikuchukua hatua zozote...hata walipotoa ndege kuintercept hizo zilizotekwa waliziweka upande tofauti...naaamin ile ilikua mauaji ya kudhamiria...kwa jinsi haya majamaa yalivo na roho ya kishetani wala sishangai
 
endapo putin atatoa specific data "there will be no u.s"waamerika watawaastaajabu sana viongozi wao kwa jambo hili
putin uchumi na fedha yake vimeporomoka anatafuta huruma kwa kusemasema ovyo
 
kuna clip niliangalia nikashangaa snaa...kuhusu hiyo sept 11...jeshi la Marekani lilipewa taarifa kuhusu hizo ndege na hata wale airhostess walifanya juhudi kubwa kuwasiliana na hao jamaa waliòkua airport lakin jeshi la Marekan halikuchukua hatua zozote...hata walipotoa ndege kuintercept hizo zilizotekwa waliziweka upande tofauti...naaamin ile ilikua mauaji ya kudhamiria...kwa jinsi haya majamaa yalivo na roho ya kishetani wala sishangai

Wewe ni mzushi tu.

Unaangalia clip za conspiracy theories halafu unaziamini?
 
Putin Hana chchote anajaribu kutishia kabanwa hana pa kupumulia
 
Putin ni kama frustrated monkey..lipo lipo tu...mxxxxx
 
Putin ni kama frustrated monkey..lipo lipo tu...mxxxxx

am affraid that US will be wiped....russians are not dummies, and their technology is very dangerous for sure....us is not able to make an engine for a rocket, and russians have Khibiny electronic equipment...
 
US fears Russian publication of satellite photos of the tragedy of 9/11

(Russian satellite evidence proving the controlled demolition of the World Trade Center using “special weapons” was reviewed by a VT editor while in Moscow.- The article below was forwarded to us for publication in the US and translated from Russian. It is 3 days old, published on February 7, 2015.)

American experts believe that despite the fact that relations between the US and Russia reached the worst point since the Cold War, Putin delivered until Obama only minor troubles.-Analysts believe that this is the “calm before the storm.”-Putin is going to hit once, but he’s going to hit hard.-Russia is preparing the release of evidence of the involvement of the US government and intelligence services in the September 11 attacks.

The list of evidence includes satellite images.

Published material can prove the US government complicity in the 9/11 attacks and the successful manipulation of public opinion.-The attack was planned by the US government, but exercised using- her proxy, so that an attack on America and the people of the United States looked like an act of aggression by international terrorist organizations.

The motive for deception and murder its own citizens served- US oil interests and the Middle East state corporations.

The evidence will be so convincing that it utterly debunks the official 9/11 cover story supported by the US government.

Russia proves that America is no stranger to using false flag terrorism against its citizens in order to achieve a pretext for military intervention in a foreign country.-In the case of “the September 11 attacks,” the evidence will be conclusive satellite imagery.

If successful, the consequences of Putin’s tactics would expose the US government’s secret terrorist policies.-The government’s credibility will be undermined and should bring about mass protests in the cities leading to an uprising, according to American analysts..

And as the United States will look on the world political arena?-The validity of America’s position as a leader in the fight against international terrorism will be totally undermined- giving immediately advantage to rogue states and Islamic terrorists.

The actual development of the situation could be much worse, experts warn.

Source: Pravda: Putin Threatens to Release Satellite Evidence of 9/11 | Veterans Today
 

Attachments

  • 1424967131734.jpg
    1424967131734.jpg
    23 KB · Views: 226
Back
Top Bottom