Putin Threatens to Release Satellite Evidence of 9/11

Wanaoogopa ukweli kujulikana na umma. Waisotaka siri kuweka hadharani.
mbwa akila mwanae wee yakuhusu nini! Mimi sitoisahau urusi mpaka kaburini! Huyu urusi alietaka kui-balance vita na uganda iendelee auze silaha! Alituuzia streiller(heat seaking missile) na aliiuzia uganda jet fighters! Ilifikia Tz tumeishiwa mabomu ndege za amin zinatamba hadi Mwanza. mrusi alikataa kutupa yale mabomu bali kwa pesa taslimu ima mikataba migumu! Alishitukia vita imekwisha baada ya kusaidiwa yale mabomu na Msumbiji na Algeria! Kibaya sana hata mig.1 tulizoziteka haikutua Tz ziliishia kulipuka baada ya take-off, aliona tutanufaika hivyo alizi-fault! Hizi sauti za Putin/kgb ni cha mtoto sana kwa hao wajuao disinformation! Toka mission yangu kule uganda sitaiaisahau urusi na hata alichofanya Msumbiji...
 
......
And then, how will the United States look in the world political arena?
The validity of America's position as a leader in the fight against international terrorism will be totally undermined thereby giving immediate advantage to the rogue states and Islamic terrorists.

The actual development of the situation could be much worse, experts warn.

President Putin Reveals Possession Of 9/11 Satellite Imagery Evidence Indicating USA Gov't Complicity In False Flag Attack | SOTN: Alternative News & Commentary

RED: I am considering this as the threat for those who will accept and believe the conviction of US government murdering her own citizen regarding 9/11 if this will be proved beyond mashaka by Russia.
 
mbwa akila mwanae wee yakuhusu nini! Mimi sitoisahau urusi mpaka kaburini! Huyu urusi alietaka kui-balance vita na uganda iendelee auze silaha! Alituuzia streiller(heat seaking missile) na aliiuzia uganda jet fighters! Ilifikia Tz tumeishiwa mabomu ndege za amin zinatamba hadi Mwanza. mrusi alikataa kutupa yale mabomu bali kwa pesa taslimu ima mikataba migumu! Alishitukia vita imekwisha baada ya kusaidiwa yale mabomu na Msumbiji na Algeria! Kibaya sana hata mig.1 tulizoziteka haikutua Tz ziliishia kulipuka baada ya take-off, aliona tutanufaika hivyo alizi-fault! Hizi sauti za Putin/kgb ni cha mtoto sana kwa hao wajuao disinformation! Toka mission yangu kule uganda sitaiaisahau urusi na hata alichofanya Msumbiji...
Mgen unafurahisha kwei kwei. Kwa masimulizi ya wagagagigikoko unayaweza.
 
Nonda

1. kwenye chanzo chako uliona hiki kitu: The authenticity of this interview remains to be confirmed?
2. kuhusu watekaji kuwa hai, tayari maelezo yameshatolewa kuwa waliiba vitambulisho vya watu walio hai (identity theft), na hivyo majina yaliyopatikana kwenye system za usafiri wa anga ulitoa majina hayo hayo. Hakuna tatizo hapo.
3. Osama mwenyewe huyu hapa:
 
Last edited by a moderator:

Kwa nini umeamua kuto-highlight hii?.Its authenticity has not been questioned.

Au hukuisoma huko?
Pia unaelewa kuwa CIA wame-fake Osama tapes nyingi tu.
 
Last edited by a moderator:
Nonda

1. kwenye chanzo chako uliona hiki kitu: The authenticity of this interview remains to be confirmed?
2. kuhusu watekaji kuwa hai, tayari maelezo yameshatolewa kuwa waliiba vitambulisho vya watu walio hai (identity theft), na hivyo majina yaliyopatikana kwenye system za usafiri wa anga ulitoa majina hayo hayo. Hakuna tatizo hapo.
3. Osama mwenyewe huyu hapa:

Last edited by a moderator:
Nonda

1. kwenye chanzo chako uliona hiki kitu: The authenticity of this interview remains to be confirmed?
2. kuhusu watekaji kuwa hai, tayari maelezo yameshatolewa kuwa waliiba vitambulisho vya watu walio hai (identity theft), na hivyo majina yaliyopatikana kwenye system za usafiri wa anga ulitoa majina hayo hayo. Hakuna tatizo hapo.
3. Osama mwenyewe huyu hapa:

Last edited by a moderator:
Nonda

1. kwenye chanzo chako uliona hiki kitu: The authenticity of this interview remains to be confirmed?
2. kuhusu watekaji kuwa hai, tayari maelezo yameshatolewa kuwa waliiba vitambulisho vya watu walio hai (identity theft), na hivyo majina yaliyopatikana kwenye system za usafiri wa anga ulitoa majina hayo hayo. Hakuna tatizo hapo.
3. Osama mwenyewe huyu hapa:

Last edited by a moderator:
mbwa akila mwanae wee yakuhusu nini! Mimi sitoisahau urusi mpaka kaburini! Huyu urusi alietaka kui-balance vita na uganda iendelee auze silaha! Alituuzia streiller(heat seaking missile) na aliiuzia uganda jet fighters! Ilifikia Tz tumeishiwa mabomu ndege za amin zinatamba hadi Mwanza. mrusi alikataa kutupa yale mabomu bali kwa pesa taslimu ima mikataba migumu! Alishitukia vita imekwisha baada ya kusaidiwa yale mabomu na Msumbiji na Algeria! Kibaya sana hata mig.1 tulizoziteka haikutua Tz ziliishia kulipuka baada ya take-off, aliona tutanufaika hivyo alizi-fault! Hizi sauti za Putin/kgb ni cha mtoto sana kwa hao wajuao disinformation! Toka mission yangu kule uganda sitaiaisahau urusi na hata alichofanya Msumbiji...

Mkuu, najua labada ulihusika vilivyo kwenye vita hiyo, lakini that is how the war games work!
Business, blackmailing etc.
Kuwa na amani. The bear is stronger. Na rafiki ambaye at least anacheza fair game kwetu ni russia na siyo marekani.
Hicho ulichoongea marekani ndo michezo yake worldwide.
 
Nawe chuki na Marekani inakutia upofu wa fikra.

Mmarekani ni mnyama sana, sababu kubwa ilikuwa ni kuufuta uislam kwa kuupachika ugaidi, lakini Allah Sub'hanah'wataala, alishasema dini hii atailinda mwenyewe, ona sasa mambo hadharani,wanaweweseka ovyo.
 
Back
Top Bottom