Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,522
- 146,041
No hurry,just wait
Wait for what?
There is nothing to wait for dude.
No hurry,just wait
Sakata la tisa kumi na moja!!Sakata gani?
La huyo mwehu na hiki-groupie chake cha humu kutafuta attention?
Sakata la tisa kumi na moja!!
Ahssssant !! umewaclassify vizuri kbs...Hawa 9/11 Truthers hawana tofauti yoyote na Birthers pamoja na Holocaust deniers.
Taratibu naanza kumweka huyo Putini kwenye kundi moja na yule mnyoa kiduku wa NK.
mbwa mwoga hubwekea mvunguni- release satelitte imagery, wanaume hufia nje!
Why is he threatening instead of just releasing it?
He is full of shit.
9/11 is inside job. The evidence is open for any one who has eyes to see.
Umwehu wa Putin ni upi?
Unasemaje?
Mwehu ni wewe usiefuatilia hii kitu. Angalia hapa.link https://www.jamiiforums.com/international-forum/125362-ugaidi-wa-serikali-ya-marekani.htmlmwehu tu, miaka yote hiyo alikuwa wapi?
Link Search | Global ResearchHana lolote, mpuuzi. kumshabikia mtu mpuuzi na mzushi kama Putini ni upuuzi pia. Hizi ni propaganda jamaa wamembana kwa ujinga wake eti nae anaibuka na evidence kelele na ubwatukaji - huyu kachanganyikiwa
Hakuna Mwanaume kama Russia ktk Mataifa makubwa, hakuna wa kumdondosha kwa kumpiga huyu jamaa.