Putin: Siwezi kusamehe usaliti

Putin: Siwezi kusamehe usaliti

Mkuu nipo kwenye harakati nahitaji JF wanirudishie account yangu lakini naona kimya na thread zangu wanafuta bila taarifa nikifanikiwa nitaku changia mada kwa ID yangu!.
- wick

Duuuh pole bro!
 
putin ana roho mbaya.......huyu jasusi alikamatwa russia akiisaliti urusi kwa kutuma siri uingereza, kuna majasusi wengine walikamatwa marekan wakifanya ujasusi na kutuma info urusi , so mataifa haya yakakaa na kukubaliana wabadilishane hawa double agents waliowakamata na hilo likafanyika kila mtu akabeba double agents wake akapeleka vienna ambako mabadilishano yalifanyika kila mtu akaondoka na double agent wake.....sasa leo hii russia kumake move against huyu jamaa tena ni ucoward wa hali ya juu,mke wake alikufa mwaka jana kwe mazingira tata, mwanae wa kiume akaja kufa kwe mazingira hayohayo wakabaki yeye na binti yake ambao nao ndo hao wako hoi ICU.......PUTIN ana roho ya kipekee sana jaribu kurecall kilimchopata aliekuwa rafiki yake mkubwa bwn mikhail khordokovorsky billionea wa zamani wa russia alipojaribu kujihusisha na siasa kunyatia urais.......leo hii yupo uhamishoni uswisi amefilisika mpk mwsho hataki kabisa kusikia kuhusu siasa za urusi
 
Kwani huko kwa putin ni usamaria au udikteta ule ule.
Nchi zenye vichwa vya namna hii lazima zisambaratike tu kama urusi ilivyosambaratika.
USA na ubabe wake wote China wameua spy wake na katulia kimya ije kuwa huyo UK wa kumtisha Russia!..
Hizo propaganda za mwanamama kumtisha mwanaume tu!, sitakupikia, sitakupa, nitaondoka wakati anajua hawezi leta effect yeyote!
 
Back
Top Bottom