Putin: Kama kuna tatizo semeni sasa ningalipo!

Putin: Kama kuna tatizo semeni sasa ningalipo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Hii kauli umenikumbusha jinsi Chadema wanavyomshambulia marehemu wakati alipokuwa Hai Waliufyata

Putin yuko mubashara BBC analihutunia Taifa na Dunia kwa ujumla
 
... anaongea nini huyo chizi mzee aliyepungukiwa maarifa na ufahamu? Muuwaji mkubwa.
 
... anaongea nini huyo chizi mzee aliyepungukiwa maarifa na ufahamu? Muuwaji mkubwa.
Mbona mashoga hamumpendi Putini hivi?
Taja rais wa nchi yoyote kubwa ambaye siyo muuaji
 
Chamana Hana alipue hilo bomulake US katua ukraine Jana....kaguswa kijambio putin
 
Jibu swali mpuuzi wewe,una comment za kitoto sana,au unawashwa
... umeuliza swali gani zaidi ya kujitangaza tu humu kima wewe? Mada inaeleza hivi in contrary una-introduce ujinga wako humu!
 
Back
Top Bottom