Putin kakanyaga pabaya

Mkuu urusi hajaanza kutumia silaha zake. Alikuwa anatumia silaha za kizamani zilizobakia ww2, hakuna mwanajeshi mzoefu wa urusi aliyeenda front hata mmoja, kyv anahangaika na madogo wa mtaani na wale wa weigner.
.
 
Muoshwa akili mwingine huyu...pole dogo una mengi ya kujifunza.
 
Putini ni chuma taluma la leli kisiki cha mpigo kukin,goa lazima uende nacho,rais wa ukereine yuko sawa na mwanaume mzinifu anae fuga Ndonga kwa kutegemea mke wa jirani yake
 
Puni sio Saddam Hussein wala gadaff watu sijui awaelewi?
 
Kunapahala hupaelewi
 
Huo ndio uhalisia kabisa.

Sent from my Nokia 1.4 using JamiiForums mobile app
 
Nasubiri kumwona Putin kizimbani siku moja, najua sio siku za karibuni sana. Unajua Wamarekani na Wazungu kwa ujumla wanafanya mambo kwa process sana. Wakianzisha kitu wanaacha processes and procedures zifanye kazi. Putin atajikuta pabaya taratibu tu kwani watamwondoa systematically. Pia upinzani unazidi kukua ndani ya Urusi na hilo ndio baya zaidi, atajikuta anakataliwa ugenini na nyumbani na mwishowe kukamatwa chini ya makalvati kama Saadamu Hussein na Muamar Gaddafi. Ni yale yale tu.
 
yaani na akili zako za kunyolea nywele unaamini kabisa porojo za ICC,haya tuambie sasa nani ataenda kumkamata huyo gwiji, kama sio unataka another ww,
wamarekani wa kona ya bwiru kwenye issu serious mmeanza kuleta propaganda zenu

Mm nina mkubal sana Urusi ila kwenye ukweli lazma tusema unafkr rais gan analindwa zaid asaiv dunian amekua anaish kama digidigi
 

Sawa muda n mtu mzur akishinda nitafurah pia ila jamaa wamempa mzgo wa mamb mengi
 

Duuh acha tuone aisee
 

Duuh acha tuone aisee
 

Duuh acha tuone aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…