Putin Kaiba Kura kama CCM?

Putin Kaiba Kura kama CCM?

Putin ni jambazi kama majambazi mengine, nashangaa watu wanamwita rais. Hasahasa zaidi naweza mwita rais Wa majambazi.

Russia ni mafia state chini ya Mafia Putin.
 
Hata asingeiba angeshinda tu,maana hakuna upinzani Russia,waliopo ni vibaraka wa Putin tu,Ukionekana uko serius wana ku neutralize mara moja.
 
Mbona upo na Putin na vitu vipo wazi kabisa...uliona wapi na Nchi gani Rais anamaliza kipindi harafu anakua waziri mkuu uchaguzi unaofata anagombea tena yeye anashinda kipindi alipokua Waziri Mkuu ndie alikua na nguvu katika maamuzi ya Sera za Nje na ndani hata viongozi wa Nje walikua wanamuona hasa yeye yule Rais alikua kama picha tuu...Putin hawezi kuachia madaraka ataendelea kufanya ujanja ujanja sana maana wapinzani wake wengi wapo Nje ya Nchi na wana nguvu kifedha na ushawishi Sera anayotumia ya kuwapoteza itamsaidia ingawaje ni ya kizamani..
Russia enzi za USSR hawakuwa makini Sana kwenye suala zima la nani awe Rais na kwanini..... Mara paaaap Mikhael Gobarchev huyu hapa, kumbe ni puppet wa USA.
Warusi Kuja kushtuka it was too late na USSR ikaanguka ndo wakazaliwa hao Kina Bosnia, Chechnya, Ukraine Kazakhstan na wengineo.

Baada ya hapo Russia ilibaki dhooful khali kiuchumi kabisa ingawa kijeshi ilibaki imara ingawa pia bajeti ya jeshi ilishuka kwa 50% Hii ilipelekea serikali kushindwa kufanya jambo Lolote la kiutafiti ndani ya jeshi.

Baada ya hapo sasa, Russia wakaanza kujijenga upya na kupitia upya taratibu zao za kumpata Rais, baada ya Boris Yeltsin kuondoka madarakani ndipo kikaja chuma Putin mwaka 2001 Nafikiri kutoka KGB.


Kumbuka Putin ni jasusi na Komando wa weledi wa hali ya juu Sana toka KGB.

Mpango ni kwamba, majimbo yote ya zamani lazima yarudi Russia yatake yasitake....... Crimea isharudi tayari for the start.

Ulaya mashariki yote, chanzo kikuu cha nishati majumbani ni Gesi na Russia ndo mzalishaji mkuu wa Gesi, sasa basi Putin kakata huduma ya Gesi mpaka watakapo kubali sharti la kurudi nyumbani yaani kuwa chini ya Russia.
Kutokana na hili watu wakaanza kupiga kelele kuwa turudi Russia tu kuliko kuendelea kuteseka, kumbuka Ukraine ilipiga kura hii..... Ikabidi USA kuingilia kati na kasema nitaleta Gesi huko toka Saudi Arabia ambayo ni lazima ipite Syria,hapo ndo mgogoro wa Syria ulipoanzia.

Kwa vyovyote vile Russia hawezi kukubali Gesi iende ndo maana anamuunga mkono Assad na uzuri zaidi ni kuwa Irani ipo upande wa Russia.

Yule adui number moja wa USA Bwana Mahamod ahmednejad Rais wa zamani wa Iran Anarudi madarakani

Hapo chacha
 
THE source being the guardian, the indirectly UK government funded news outlet, already the source is compromised. We have just seen the UK government fabrcating stories incriminating Russia we also know that the oligarchy had been planted to be a symphony for those who managed to dismantle SOVIET union.

In other words, you are ill informed of what's going on in Russia. Pole sana.
I have been following zMikhail’s case since 2003 when he was jailed and he was released on 2013 with HIV+ status so you stay there.
 
Mikhail is now building up his political stage in London though the agreement of him being pardoned by Putin was to stay away from politics
Putin is capable of anything, can interfere any country for sake of his political interests, refer to the US last election, now Trump is trying to convince all Americans that didn't have any connection with Putin at the time, but the truth is out,
 
Mbona upo na Putin na vitu vipo wazi kabisa...uliona wapi na Nchi gani Rais anamaliza kipindi harafu anakua waziri mkuu uchaguzi unaofata anagombea tena yeye anashinda kipindi alipokua Waziri Mkuu ndie alikua na nguvu katika maamuzi ya Sera za Nje na ndani hata viongozi wa Nje walikua wanamuona hasa yeye yule Rais alikua kama picha tuu...Putin hawezi kuachia madaraka ataendelea kufanya ujanja ujanja sana maana wapinzani wake wengi wapo Nje ya Nchi na wana nguvu kifedha na ushawishi Sera anayotumia ya kuwapoteza itamsaidia ingawaje ni ya kizamani..

Wewe jamaa ni mwongo kweli,
Hivi aliyeamuru Georgia ishambuliwe mwaka 2008 alikuwa ni Vladmir Putin au Dimitry Medvedev ?
Halafu suala la kukaa madarakani ni la kawaida sana kama wananchi wanaona kiongozi anawafaa ?
Nashangaa unamzungumzia Vladmir Putin wakati kuna majitu kama Benyamini Netanyahu yanarudi madarakani mara ya tatu hii na hamsemi lolote lile ?
 
Putin is capable of anything, can interfere any country for sake of his political interests, refer to the US last election, now Trump is trying to convince all Americans that didn't have any connection with Putin at the time, but the truth is out,

America has been doing the same since 1945, worse enough through subversion and assassinations of democratically elected leaders. The sad truth is , every American President after world war II violated International Law in one way or the other.
 
Back
Top Bottom