Putin Kaiba Kura kama CCM?

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
The scale of victory - which had been widely predicted - appears to be a marked increase in his share of the vote from 2012, when he won 64%.

Mr Putin's nearest competitor, Pavel Grudinin, had received about 12% so far, according to the central election commission.

Mr Grudinin is a millionaire communist, but the race also included a former reality television host, Ksenia Sobchak (2%), and veteran nationalist Vladimir Zhirinovsky (6%).

A state exit poll put the turnout at over 60%. Mr Putin's campaign had hoped for a large turnout, to give him the strongest possible mandate.

His campaign team said it was an "incredible victory".

"The percentage that we have just seen speaks for itself. It's a mandate which Putin needs for future decisions, and he has a lot of them to make," a spokesman told Russia's Interfax.

In some areas, free food and discounts in local shops were on offer near polling stations.
Pitia video uone
 
Putin hajaiba kura, kaua competition tuu, wapinzani wengi wame uawa au kubambikiwa kesi na kuto zuiliwa kugombea. Kwa hiyo wapinzani waliokuepo leo ni vihiyo tuu.
Halaf Putin sio kwamba anachukiwa kama mnavo ambiwa na vyombo vya magharibi. Wapo watu wengi tuu Urusi wana mpenda.
 
Waingereza wamempigia kampeni wenyewe...baada ya kusingizia warusi unyama. UK baada ya kugundua wamekosea mbinu yao ya kipuuzi wakaanza kusema hoo sisi hatuna shida na raia wz russia bali viongozi walioko 'Klemlin'. It was too late....warusi walikuwa wameisha gundua hila na wameAMua kumuunga mkono Putin.
 
Putin hajaiba kura, kaua competition tuu, wapinzani wengi wame uawa au kubambikiwa kesi na kuto zuiliwa kugombea. Kwa hiyo wapinzani waliokuepo leo ni vihiyo tuu.
Halaf Putin sio kwamba anachukiwa kama mnavo ambiwa na vyombo vya magharibi. Wapo watu wengi tuu Urusi wana mpenda.
Angalia video hii vizuri uone Putin anavyoiba kura

Mambo ya Ngoswe tumuachie Ngoswe mwenyewe.
Hatuna ajira, hatuna madawa, miundombinu mibovu, maisha magumu, Hali mbaya ya kiuchumi nk. Tukabiliane Na Haya ya kwetu Kwanza ndipo tuanze kuyaangalia ya jirani
 
Are you able on backing up your story with clean reference!?
Mbona upo na Putin na vitu vipo wazi kabisa...uliona wapi na Nchi gani Rais anamaliza kipindi harafu anakua waziri mkuu uchaguzi unaofata anagombea tena yeye anashinda kipindi alipokua Waziri Mkuu ndie alikua na nguvu katika maamuzi ya Sera za Nje na ndani hata viongozi wa Nje walikua wanamuona hasa yeye yule Rais alikua kama picha tuu...Putin hawezi kuachia madaraka ataendelea kufanya ujanja ujanja sana maana wapinzani wake wengi wapo Nje ya Nchi na wana nguvu kifedha na ushawishi Sera anayotumia ya kuwapoteza itamsaidia ingawaje ni ya kizamani..
 
Back
Top Bottom