Putin Kaiba Kura kama CCM?

Putin Kaiba Kura kama CCM?

Mbona upo na Putin na vitu vipo wazi kabisa...uliona wapi na Nchi gani Rais anamaliza kipindi harafu anakua waziri mkuu uchaguzi unaofata anagombea tena yeye anashinda kipindi alipokua Waziri Mkuu ndie alikua na nguvu katika maamuzi ya Sera za Nje na ndani hata viongozi wa Nje walikua wanamuona hasa yeye yule Rais alikua kama picha tuu...Putin hawezi kuachia madaraka ataendelea kufanya ujanja ujanja sana maana wapinzani wake wengi wapo Nje ya Nchi na wana nguvu kifedha na ushawishi Sera anayotumia ya kuwapoteza itamsaidia ingawaje ni ya kizamani..
Bado hujathibitisha kuwa warusi wengi wanamchukia Putin ,inajulikana wazi warusi wengi wanamkubali Putin na hii haina kificho kuhusu kufunga wapinzani mbona hujiulizi kwann warusi hawakosoi ,hawaandamani na njia zingine ukiona mwanasiasa anakuwa backed na usa huyo ni tatizo mfano boris alikuwa supported na usa nadhani kila mmoja ameona alivyoiua urusi mpaka putin alipoinua urusi ,mwanasiasa anafadhiliwa na usa kwa nchi kama urusi haki yake kufungwa ndio maana unaona warusi hawasumbuki kukemea wanajijua na wanajua adui yao anataka nini

Putn anakubalika sana Russia na kusema eti hakubaliki ni uzushi haswa
Mbona upo na Putin na vitu vipo wazi kabisa...uliona wapi na Nchi gani Rais anamaliza kipindi harafu anakua waziri mkuu uchaguzi unaofata anagombea tena yeye anashinda kipindi alipokua Waziri Mkuu ndie alikua na nguvu katika maamuzi ya Sera za Nje na ndani hata viongozi wa Nje walikua wanamuona hasa yeye yule Rais alikua kama picha tuu...Putin hawezi kuachia madaraka ataendelea kufanya ujanja ujanja sana maana wapinzani wake wengi wapo Nje ya Nchi na wana nguvu kifedha na ushawishi Sera anayotumia ya kuwapoteza itamsaidia ingawaje ni ya kizamani..
 
Mikhail is now building up his political stage in London though the agreement of him being pardoned by Putin was to stay away from politics
Anapoteza muda warusi hawawezi kung'atwa na nyoka mara 2 mwanasiasa anafadhiliwa na uk na us wampe urais?

Russians sio naive kihivyo ase
 
Huyu mzee putin hana Soni hata chembe

Kuua mtu kwake Ni km kuua panya

Nafkiri kazi yake ya ujasusi ilimuharibu akili

Na kingne matamanio aliyonayo kupunguza ushawah wa Marikani duniani ndo vinampa wendawazimu
Nilisoma jinsi alivyoajiriwa Ujerumani Mashariki enzi zile za Cold War alikuwa mkalimani wa ma diplomat kumbe ndipo alipowapata.

Kulikuwa na sanduku la Siri, West Germany waliliwinda Putin alishindwa kulibeba kwenda nalo Urusi aliamua kulichoma, mpaka Leo Western World hawajui sanduku lile lilikuwa na siri gani.
 
Putin is fluent in Germany na hii ndiyo ilikuwa main tool katika uspy wake
 
Huyu jamaa mapenzi yake na Kremlin yako kwenye damu alianza kama chipukizi
 
America has been doing the same since 1945, worse enough through subversion and assassinations of democratically elected leaders. The sad truth is , every American President after world war II violated International Law in one way or the other.

Took seems like a more appropriate word "wins" but it is all a matter of perspective. Putin's strongest challengers were kept off the ballot. Russia's GDP has been declining year over year for the last few years. In 1995 there were 148 million people in Russia and today there is 143 million so the population is also in decline. Putin's reign, from the outside looking in, hasn't been good for Russia.
 
Wewe jamaa ni mwongo kweli,
Hivi aliyeamuru Georgia ishambuliwe mwaka 2008 alikuwa ni Vladmir Putin au Dimitry Medvedev ?
Halafu suala la kukaa madarakani ni la kawaida sana kama wananchi wanaona kiongozi anawafaa ?
Nashangaa unamzungumzia Vladmir Putin wakati kuna majitu kama Benyamini Netanyahu yanarudi madarakani mara ya tatu hii na hamsemi lolote lile ?
Weee jamaa nakukubali sana
[emoji122] [emoji122]
 
Took seems like a more appropriate word "wins" but it is all a matter of perspective. Putin's strongest challengers were kept off the ballot. Russia's GDP has been declining year over year for the last few years. In 1995 there were 148 million people in Russia and today there is 143 million so the population is also in decline. Putin's reign, from the outside looking in, hasn't been good for Russia.

About that,
Do you know the true cause of Russian population decline ???
And have you observed recently the new statistics on Russian life expectancy for the past ten 7 years ???
I think if we provide Statistical Data, our arguments will be very water tight. After you my friend!
 
Back
Top Bottom