YonDu Udonta

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
697
500
Swali


Ivi rusia na china hawanaga uchaguzi maana ma raisi wao naona wana mda duuh

Sent using Jamii Forums mobile app

Wanafanya Uchaguzi Tena Wa Vipindi Flani Flani Kama Kwa Russia Ni Miaka Mitano Mitano... Ila Ukifatilia Kwa Mfano Putin Kuna Wakati Anakua Raisi Akishamaliza Consecutive Two Periods Ya Miaka Mitano Anampa Full Support Waziri Mkuu Wake Awe Raisi Na Yeye Anakuwa Waziri Mkuu Hivo Hivo Wanabadilishana Kwa Miaka Tena Mingine Ijayo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom