Putin: "I'm Ready for another Cuban-Missile Style Crisis"

Air Tanzania kuna mzigo mwingine mzuri toka Russia huo zaidi ya Airbus
 
Hakuna mzungu anaetumia tecno bt Huawei wapo wanaotumia
Pia mchina anaunda vitu kulingana na pesa yako mfano ni tecno phantom ni bora saana kuliko ata Samsung prime 5
Hivi ushawahi kuona mzungu au hata mchin amwenyewe anatumia Huawei au Techno. Ukienda Uingereza Techno ipo? Izo simu kwa ajili ya dunia ya tatu ndugu.

Mchina tekinolojia nyingi anapewa toka Russia kubali ama kataa

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Anazo Warheads Zaidi Ya 300. Na Mainly Ni Kwa Ajili Ya Deterrence. Hata Urusi Naye Ni Kwa Ajili Hiyo Ndio Maana Anaishia Kuzungumza Tu Maana Wanajua Kwamba Hata Yeye Hayupo Salama Sababu Ya Kitu Kinachoitwa Mutual Assured Destruction.
Mkuu uko well informed na una nidhamu ya majadiliano. Kudos bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mzungu anaetumia tecno bt Huawei wapo wanaotumia
Pia mchina anaunda vitu kulingana na pesa yako mfano ni tecno phantom ni bora saana kuliko ata Samsung prime 5

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Kiongozi acha utani. kweli Techno Phantom ulinganishe na Samsung. Simu inayojisikia tu leo naamua kuzima kutwa inajizima ukipeleka kwa fundi ndo kabisa inaenda malikizika hahahaha
 
Uko sahihi 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anafanya ushabiki wa vibanda umiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…