Lakini kumbuka kuna majimbo mengine hata tanzania inayazidi kwa gdp
Kwa mwaka jana 2015, kati ya majimbo 50 ya US, Tanzania ilikuwa na GDP kubwa kuzidi majimbo manne (4) tu! This is almost negligible. Majimbo hayo na GDP in millions kwenye mabano ni Vermont (29,750); Wyoming (40,170); South Dakota (45,415); Montana (45,799); then Tanzania (48,057); North Dakota (53,686); ...; California (2,448,467).
Hata hivyo zingatia, wakati Tanzania ikikadiriwa kuwa na watu 48,000,000; population ya majimbo yaliyo na GDP ndogo zaidi ya Tz ni kama ifuatavyo Vermont (626,042); Wyoming (586,107); South Dakota (858,469); Montana(1,032,949).
SUMMARY:
Combined GDP ya hayo majimbo manne: USD 161,134,000,000
Combined population ya hayo majimbo ni: 3,103,567
Sasa kama kweli kichwa chako unakitumia kufikiria badala ya kufugia nywele, naomba unijibu hili swali: eneo lenye population ya 48,000,000 na GDP ya USD 48,057,000,000 au lenye population ya 3,103,567 na GDP ya USD 161,134,000,000 ni lipi lenye ahueni?