Putin akiri Marekani ndo Super Power pekee Duniani

Putin akiri Marekani ndo Super Power pekee Duniani

aibu kwako ulieandika, ukweli warusi wanaujua na dunia inatambua hata mgabe na ubishi wake wote anakubali hadi gadaffi huko aliko anajua mziki wa marekani as a super power in the history of the world sasa wewe sijui unaongea nini kama si pumba!
Tatizo wanapenda sana sifa kuliko vitendo na pia ni waoga sana hao jamaa zako
 
Kwani hili nalo linataka mabishano....kwani hata kwa macho unaweza kuona hali za maisha ya warusi na wananchi wa marekani zilivyotofauti.......
 
Mie najua Tz chini ya JPM ndio super power!! Ukibisha wewe mpinge uone kama hujaenda jela!! Mm nakusifia rais wangu ww ndio bora kuliko wote duniani!! Hususan tz hakuna mwenye wazo zuri kuliko yako!!
 
hehehee! kwa miraia kama wewe magufuli anakazi sana kuifanya nchi hii kuwa na ya uchumi wa kati na viwanda. unaamini putin alisema marekani sio super power kijeshi afu now putin anasema marekani ndio super power pekee hutaki kuamini kwa ubishi wako tu. ila kwa kuwa putin anajua hivyo na kakiri mbele ya dunia bas wewe endelea kufurahisha nafsi yako sawa

Huyo jamaa sio Mtz hivyo magu hamuhusu
 
Nilitegemea hivyo vikwazo vianzie na RD-180 Rocket Engines, kawaongopea wenzake nao bila kutafakari wakaingia mazima.
Baadhi sasa wameshamstukia mnafiki mkubwa tuu!
 
Kwani hili nalo linataka mabishano....kwani hata kwa macho unaweza kuona hali za maisha ya warusi na wananchi wa marekani zilivyotofauti.......
Haya tuambie wew tofauti ya maisha ya urusi na marekani maana naona maisha yanafanana tu vilivyo usa na urusi pia vipo
 
Kama kigezo ndo orodha yao iyo ya nchi zenye uchumi mkubwa basi wanawaongopea.Nigeria ndo nchi ya kwanza africa kuwa na uchumi mkubwa na ni ya 24 duniani,je maisha ya Nigeria na mazuri kushind finland,belgium,malasia,UAE,australia,singapore,norway na denmark.jibu unalo mwenyew akiri za kuambiwa changany na zako
 
Hizi ni changamoto ambazo tunapaswa kuzijua.leo hii Nigeria ina uchumi mkubwa kushinda singapore,malasyia,umoja wa farme za kiarabu(UAE) lakin kimaisha ni ngumu kusem kuw unachagua kuishi Nigeria na kuacha nchi izo.hau kama kweli yupo mtu huyo basi inabidi tumchunguze vizur maana atakuwa ametoa mamuzi magumu sana
 
Lakini kumbuka kuna majimbo mengine hata tanzania inayazidi kwa gdp

Kwa mwaka jana 2015, kati ya majimbo 50 ya US, Tanzania ilikuwa na GDP kubwa kuzidi majimbo manne (4) tu! This is almost negligible. Majimbo hayo na GDP in millions kwenye mabano ni Vermont (29,750); Wyoming (40,170); South Dakota (45,415); Montana (45,799); then Tanzania (48,057); North Dakota (53,686); ...; California (2,448,467).

Hata hivyo zingatia, wakati Tanzania ikikadiriwa kuwa na watu 48,000,000; population ya majimbo yaliyo na GDP ndogo zaidi ya Tz ni kama ifuatavyo Vermont (626,042); Wyoming (586,107); South Dakota (858,469); Montana(1,032,949).

SUMMARY:
Combined GDP ya hayo majimbo manne: USD 161,134,000,000
Combined population ya hayo majimbo ni: 3,103,567

Sasa kama kweli kichwa chako unakitumia kufikiria badala ya kufugia nywele, naomba unijibu hili swali: eneo lenye population ya 48,000,000 na GDP ya USD 48,057,000,000 au lenye population ya 3,103,567 na GDP ya USD 161,134,000,000 ni lipi lenye ahueni?
 
putin anawapumbaza wamarekani ili wajiamin cku wakijifanya kumshambulia ndo watajua urusi ni nani
 
putin anawapumbaza wamarekani ili wajiamin cku wakijifanya kumshambulia ndo watajua urusi ni nani

duh! we ni noma, yaani umejipenyeza hadi kwenye akili ya putin! ungefanya hivyo na kwenye akili ya late great kanumba siku ile asingemkaribisha lulu ingesaidia hadi sasa tungekuwa tunapata movies tamu
 
President Vladimir Putin said on Friday he accepted the United States was probably still the world's sole superpower and he was ready to work with whoever won the presidency, but didn't want to be told how to live by Americans.
=================================================
Wataalamu wa lugha ya Bibi malkia watatusaidia...kutufafanulia.
 
President Vladimir Putin said on Friday he accepted the United States was probably still the world's sole superpower and he was ready to work with whoever won the presidency, but didn't want to be told how to live by Americans.
=================================================
Wataalamu wa lugha ya Bibi malkia watatusaidia...kutufafanulia.

kakubari kwamba US ni super power lakin hataki wamarekani wampangie jinsi ya kuishi.
hayo ya kupangiwa kuishi hata nyerere alisema lakin mwisho wa siku vyama vingi vikaja huku nyerere akivitetea pamoja na watanzania kuvikataa. IFM na WB zikaja,nk
mugabe pamoja na kupinga lakin leo kapangiwa kuishi kwenye umaskin mkubwa na haohao US n co huku nchi yake ikitumia usd bila kupenda.
lakin bwana putin amekubali usuper power wa US lakin bado anapigania uhuru wake wa kujiamlia mambo yuko sahihi kabisa kama kiongozi, lakin asisahau kushuka kwa bei ya mafuta kumeharibu kabisa mipango yake na serikali yake na inasemekana US kimkakati ndo kainjinia bei ya mafuta ishuke hapo tayari kapangiwa, pia syria putin hakuwa na mpango wa kwenda ila kajikuta anacheza ngoma US na huko pia ni kupangiwa.
 
Back
Top Bottom