Putin akiri Marekani ndo Super Power pekee Duniani

usuper power huwa ni kilemba cha ukoka tu,
marekani alikuwa superpower miaka ya 60,lakini walipigwa na wavietcong mpaka wakaondoka saigon kwa kuokolewa na helcopiter,huo usuper umeshindwa hata kuwatokomeza Taliban kikundi kinachopewa silaha na saud,
kiuchumi sawa ni superpower na hiyo ni kwasababu alimudu kuishawishi dunia itumie dollar katika biashara za kimataifa.
Marekani ana jeshi kubwa na lenye silaha za kisasa,lakini kila silaha aliyonayo mmarekani,mrusi nae anayo,
wakati marekan anamzidi mrusi kwa idadi ya ndege na manowari za kivita,mrusi anamzidi mmarekan kwa idadi ya makombora na vifaru,
lakini iwapo itatokea vita kati ya marekani na russia,ndege zitakuwa uselless,wala vifaru havitasaidia kitu,itakuwa ni vita vya makombora na japokuwa russia anaizidi marekani kwa idadi ya makombora lakini wote wataathirika na vita vitadumu kwa masaa yasiyozidi matano tu

hiv barcelona kufungwa na valencia, r.madrid kufungwa na gatafe, b.munich kufungwa na schake 04 inaondoa kuzitambua kwamba ni football club zenye nguvu zaidi?! acha ubishi wa kipuuzi sawa ee
 
Kwa Sasa Putin ndio Rais ambae ana akili na anafanya mambo yake kwa akili na mipangilio kuliko Kiongozi yeyote yule wa huko West. Westeners wamejaribu kuuvuruga uchumi wa Russia kwa kushusha Bei ya mafuta na kumuwekea Vikwazo lakini Putin na Russia wamebakia wamesimama wima. Na badala yake bei ya mafuta imeback fire kwa Saudia ambae ni mshirika wa west.
 
Walikiona cha mtema kuni...

Walipewa funzo kule Vietnam lakini hawajifunzi.
Nakumbuka hiyo vita ilisababisha madhara makubwa
sana na ilidumu muda mrefu mmoja alipoona wamarekani wamebaki kimya sijui uoga akaamua kusimama Martin Luther King JR na A TIME TO BREAK SILENCE IN BEYOND VIETNAM aliona wasio na hatia wanakufa kule Vietnam na hata wamarekani wenyewe wanakufa vibaya sana.
Hiyo hotuba BEYOND VIETNAM ukiisikia ni somo kubwa kwa USA hata leo.
Hii tabia ya kuvamia mataifa ya watu na kuanzisha vita hakika USA itakuja angamia siku moja na watajuta.
Hata kama uko na technolojia kubwa lakini wanajeshi wakakosa ari na nguvu ya kupambana wakiwa vitani ni kazi bure isitoshe vita anavyoanzisha USA nia yake ni kuharibu nchi za watu kwa maslahi yake.
Unaanzisha vita kisha unakutana uso kwa uso na ma-die hard Vietcong wanapambana kuliokoa taifa lao lisitumbukie mikononi mwa manyang'au hali inakuwa ngumu kwako unatafuta njia kukimbia kichapo halafu unajigamba sijui Superpower! Aibu
 
jamaa kakiri US ndo super power pekee
 
kwa akili yako usuper power ni vita tu eti!!. kwa hiyo ndo kusema hata mrusi alivyopokea kichapo kutoka kwa mjahidin bas ndo inakuwa mrusi hawezi kitu! tumia akili
 
Aibu mbayaa...wanadanganya dunia kwa kuact movie za propaganda eti wanaichakaza Vietnam!
 
U.S.A is the only SUPER POWER... na watu wengi hawajui maana ya SUPER POWER.. watakwambia kuna nchi itaizidi U.S.A kwa nguvu za kijeshi, ujasusi, teknolojia etc etc... na nchi watakayo kutajia ni RUSSIA.. watu bado wamelala sana.. Atleast Putin kawaamsha..!! Wako wengi humu with mental hysteria, na hawajui bado U.S.A ndio kila kitu...!! Utake, usitake... U.S.A ndio kila kitu..!!✔✔✔✔
 
kwa akili yako usuper power ni vita tu eti!!. kwa hiyo ndo kusema hata mrusi alivyopokea kichapo kutoka kwa mjahidin bas ndo inakuwa mrusi hawezi kitu! tumia akili

Superpower ni strength kwenye technolojia, cultural, military na economic na hata influence ya taifa husika katika international affairs.
Ukisoma na kuelewa vizuri comment yangu ya awali hakuna nilipoandika Usuperpower ni vita tu, hakuna!

USA ana nguvu kubwa za kiuchumi, hii inafahamika ila in terms of defense and military power pamoja na kuwa kila mwaka anaongoza kwa budget kubwa lakini bado haijamsaidia kuongoza in Military Strength . Na hapo ndio wadadisi wa mambo wanapopata msingi wa hoja hii kuwa huo Usupepower wa USA hauna utimilifu sababu factor hii muhimu in military and defense perception lipo taifa linalompa upinzani mkali na hata kumzidi USA na hii factor ina mchango mkubwa katika taifa moja au jingine kuwa Superpower.

Ni hivi, influence ya USA kijeshi katika international affairs inafanikiwa au itafanikiwa vipi? Na wakati huohuo kuna taifa ambalo linaeza zuia hiyo influence ya USA tena kijeshi na huyo USA ambaye anaaminisha ulimwengu ni Superpower asiweze thubutu kufanya chochote!
Rejea Crimea crisis, Russia intervention in Syria etc. inamlazimisha USA kukaa chini na kutafuta njia nyingine upya kama vile vikwazo ili kukabiliana na mwenzako ambaye katumia Military Strength kuzuia influence ya USA.

Vietnam war, Viet cong wakiongozwa na Ho Chi Minh waliendesha Conventianal warfare dhidi ya USA na South Vietnam, kulikuwa na North Vietnamese Army likipambana to reunify Vietnam na hatimaye walifanikiwa baada ya Uncle Sam kukimbia sasa we unalinganisha vipi na Urusi kule Afganistan Mujahideen ambao walikuwa wakiendesha guerrilla warfare wakitumia hit-and run tactics?
 
upinzani wa jamii forums?! hata mgabe anatuka obama na superpower US je unataka US achalaze zimbabwe?! kwako huo ndo usuper power!
 
aibu kwako ulieandika, ukweli warusi wanaujua na dunia inatambua hata mgabe na ubishi wake wote anakubali hadi gadaffi huko aliko anajua mziki wa marekani as a super power in the history of the world sasa wewe sijui unaongea nini kama si pumba!
 
tumia akili hao ni maactors na sio serikali think ,still ndo maana ukaita movie which means it's fiction not reality.
 
hujui unachoongea nadhani hukufuatilia ni jibsi gani vikwazo vinavyoitesa urusi to the extent ya Putin mwenyewe kuamua kushusha viwqngo vya mishahara ya wafanyakazi wa serikali akiwemo yeye mwenyewe still unasema Russia is stable! hata hotuba yake ya mwisho kwenye tv aliofanya alikiri kuwa abaumia bado akawatia wananchi moyo kuwa aba imani the U.S ingeondoa vikwazo na kurejesha hali nzuri ya maisha kwa warusi kama hapo awali. acha kucomment kwa kukurupuka be sure please.
We kweli kiazi na sio mfatiliaji mzuri wa ivyo vikwazo.mpaka umoja wa ulaya umegawanyika kuhusu ivyo vikwazo maan wanaona wanaumia tu wao.nchi kama ufaransa,germany,italy na zingine zilishaachana na uwo ujinga sasa.we unanunua gesi na mafuta unazidi kumpa pesa tu mwenzako alafu yeye bidhaa yako anunui je nani ataumia zaid,wakulima wa ulaya wanalalamika maan soko lao kubwa lilikuwa urusi sasa ivi awana sehemu ya kupeleka bidhaa zao
 
Back
Top Bottom