Putin akiri Marekani ndo Super Power pekee Duniani

Putin akiri Marekani ndo Super Power pekee Duniani

Si kila umdhaniae anajua basi anajua kweli huyo nimemsoma hajui mambo hayo. Wengine wanakuita pm, ukiwabana jamvini unagundua they are clueless.

Nitaresearch na nitatoka kivywangu. I have a will and will use the will power. Disclaimer: Usiamini kila unachosoma jamvini hahahaa.
 
President Vladimir Putin said on Friday he accepted the United States was probably still the world's sole superpower and he was ready to work with whoever won the presidency, but didn't want to be told how to live by Americans.

Putin's comments follow a rocky period in U.S.-Russia relations, which have been undermined by disagreements over issues such as Ukraine and Syria.

Putin reiterated criticism of what he said was the misguided role of the United States in Ukraine's affairs and said he opposed what he cast as U.S. efforts to prevent Russia repairing its relations with the European Union.

But he had some positive words too.

"America is a great power - today probably the only superpower. We accept that," Putin said at the St Petersburg International Economic Forum. "We want to and are ready to work with the United States."

Asked about Donald Trump, Putin appeared to play down positive comments he had made about the Republican contender in the past, saying those had been misinterpreted.

In December, Putin described Trump as "very flamboyant", "very talented" and "an absolute leader in the presidential race".

Those comments, along with warm words from Trump about Putin, have fueled speculation the Kremlin would be pleased to see Trump in the White House.

But on Friday Putin said he had only described Trump as "flamboyant".

"He is, isn't he?" said Putin with a smile. "I did not give any other assessment of him."

Putin said he welcomed Trump's desire to restore U.S.-Russia ties. "What's wrong with that?" Putin asked, drawing applause from the audience.

my take: kuna watu watakuja hapa kubana pua na kutokwa povu kupingana na putin, only in tz. subiri tanzania ya viwanda inakuja.

Tatizo lako kubwa ni kushindwa ku distiquish kati ya a diplomatic language na lugha ya mitaani - Putin hata siku moja hawezi kuzungumza kinyonge kivile, Urusi inamuogopa nani hapa Duniani, mara ngapi tumemsikia Putin akikumbusha Marekani kwamba hisijidanganye kwamba ndio imebaki ni Superpower kijeshi (watu wanachanga mambo ya kijeshi na kiuchumi). Mwishoni mwa mwaka jana Putin alisema Marekani kama inadhani ina uwezo kijeshi kuishinda nchi yake hayo yatakuwa ni mawazo yao wakiwa ndotoni hawezi kuwazuia wasiendelee na ndoto zao za mchana!

Nimefatilia kwa karibu kauli za Putin alipokuwa kwenye mji alipo zaliwa, sikuwahi kusikia anazungumza kitu kama hicho, nashangaa mleta mada taarifa hizi kazitoa kwenye source hipi reliable!!!

Kila mtu mwenye akili timamu anajua hiyo ni misinformation yenye lengo maalum - wahusika wana gross misinterpret lugha ya Kirusi to suit their purpose, nani hawajui?

Ujinga huu uliwahi kutokea wakati wa utawala wa Saddam Hussein, vyombo vya magharibi vikatafsiri lugha ya Kiarabu kivingine kabisa kwa kuingiza maneno ambayo Sadam hakuyasema, miaka mingine waka misqoute Rais Yeltsin - ni mabingwa sana ku demonise watu wasio wapenda.

Yeye alikuwa anazungumza Kirussi wewe unajuaje kama kweli anaweza kuzungumza kitu kama hicho, Putin ni binadamu smart upstairs hawezi kuzungumza kitu kama hicho hata siku moja labda kwa utani/mitego.
 
hehehee! kwa miraia kama wewe magufuli anakazi sana kuifanya nchi hii kuwa na ya uchumi wa kati na viwanda. unaamini putin alisema marekani sio super power kijeshi afu now putin anasema marekani ndio super power pekee hutaki kuamini kwa ubishi wako tu. ila kwa kuwa putin anajua hivyo na kakiri mbele ya dunia bas wewe endelea kufurahisha nafsi yako sawa
 
Wakati uchumi wa jimbo la California peke yake ni wa 6 duniani ukitanguliwa na wa US, China, Japan, Germany, na UK; uchumi wa Russia ni wa 14. Putin hakuwa na namna zaidi ya kusema aliyoyasema. Ni mnafiki tu huita nyeupe nyeusi na vice versa.

Hebu rudia tena.....nchi inayoitwa Califonia ipo wapi? Je unafahamu G8 amaG20?

Kama ndio jisahihishe ulipokosea
 
Yeye alikuwa anazungumza Kirussi wewe unajuaje kama kweli anaweza kuzungumza kitu kama hicho, Putin ni binadamu smart upstairs hawezi kuzungumza kitu kama hicho hata siku moja labda kwa utani/mitego.[/QUOTE]
so kama alikua anazungumza kirusi ndio nn sasa,yaan mtu aongee kwe economic forum kubwa kama ile af watu wasielew coz anaongea kirusi?kwanza putin kwe mikusanyiko mingi ya kimataifa huwa anatumia kirusi kuongea mbn mkuu! achana reuters,TASS ni news agency ambayo inamilikiwa na serikali ya russia pia iliripoti hio habari
Putin admits US is the only superpower today
 
Unapenda sana ushabiki kuliko ukweli wa mambo. Kwa sababu wewe ni mshabiki wa US basi endelea hivyo hivyo.

sema putin ni shabiki wa US sio mimi, hata ww pia ni shabiki wa russia
 
mbn kasema jimbo hajasema nchi mkuu

Huwezi kusema Jimbo la Alaska ni la pili ama la tatu kwa uchumi duniani ni sawa na kumlinganisha farasi na paka. Kwa maana majimbo hulinganishwa kwa majimbo nchi hulinganishwa na nchi hivyo ni kosa alipaswa kulitambua. Lakini pia amesema Russia ni ya 14..... Je anajua G8 wanachama wake kina nani? je anajua G20 (ili afahamu number 14) inashikiliwa na nani?

kakaa kimya au we ndio umekuja na ID ingine
 
noo mbn issue simple tu,kwan huwez sema uchumi wa marekani ni sawa na uchumi wa EU? UNTK KUSEMAJE HAPO KWE G8 kwan?
 
Hivi lugha ya kijasusi hamuijui ? Think thrice about Putin's comment.
 
Hebu rudia tena.....nchi inayoitwa Califonia ipo wapi? Je unafahamu G8 amaG20?

Kama ndio jisahihishe ulipokosea
Ha ha ha! Au hutaki kuamini state inayoitwa California huko Marekani ni ya 6 kiuchumi duniani kuliko hata mataifa kadhaa tajiri duniani? Mkiambiwa Marekani ni namba nyingine huwa hata hamuelewi. India na uchumi wake wote na utitiri wa watu hainusi kwa California sembuse Iran sijui Saudia! Please, do your homework.
 
sema putin ni shabiki wa US sio mimi, hata ww pia ni shabiki wa russia
usuper power huwa ni kilemba cha ukoka tu,
marekani alikuwa superpower miaka ya 60,lakini walipigwa na wavietcong mpaka wakaondoka saigon kwa kuokolewa na helcopiter,huo usuper umeshindwa hata kuwatokomeza Taliban kikundi kinachopewa silaha na saud,
kiuchumi sawa ni superpower na hiyo ni kwasababu alimudu kuishawishi dunia itumie dollar katika biashara za kimataifa.
Marekani ana jeshi kubwa na lenye silaha za kisasa,lakini kila silaha aliyonayo mmarekani,mrusi nae anayo,
wakati marekan anamzidi mrusi kwa idadi ya ndege na manowari za kivita,mrusi anamzidi mmarekan kwa idadi ya makombora na vifaru,
lakini iwapo itatokea vita kati ya marekani na russia,ndege zitakuwa uselless,wala vifaru havitasaidia kitu,itakuwa ni vita vya makombora na japokuwa russia anaizidi marekani kwa idadi ya makombora lakini wote wataathirika na vita vitadumu kwa masaa yasiyozidi matano tu
 
Back
Top Bottom