aliekatakamba-wingatereza
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 624
- 4,583
sasa unaandika upumbavu gani hapa?acha ujuaji mkuu😕😕😕Hiyo Laska sijui iko wapi mkuu.

Yule jamaa anataman kabla hajafa aone uyoga wa moto ukipepea anganiAkamatwe..
Alafu huko nyuma nchi ibaki na Mlevi MEDVED Ana hamu Nuclear Zitumike Kabla Hajafa..
Acha shobo basi, kama hujaelewa pita kimyakimya kama unamuaga spika wa bunge.sasa unaandika upumbavu gani hapa?acha ujuaji mkuu😕😕😕
toa ujinga wako hapaAcha shobo basi, kama hujaelewa pita kimyakimya kama unamuaga spika wa bunge.
HakamtwiMichezo
Ni kweli wapo vizuri lakini hii dunia hakuna chombo au mtu asiyeingilikaMkuu FSB sio policcm wa Chato.
Sidhani kama watamkamata maana Marekani sio mwanachama wa ICC hivyo hawajibiki kwake!Moja kwa moja kwenye swali langu.
Mahakama ya ICC ilimhukumu Putin kwa makosa yanayohusiana na vita ya Ukraine na kutaka akamatwe.
Sasa ni wazi Putin ataenda kuongea na Rais wa Marekani Bwana Trump katika jimbo la Alaska lililoko katika nchi ya marekani.
Hapa ni kama mbuzi kafia kwa muuza supu.
Kwa hiyo nadhani Marekani wamepata nafasi ya kumtia mguvuni Bwana Putin.
Kumbuka Marekani iliunga mkono maamuzi ya mahakama hiyo.
Au wadau mnasemaje?
Nimeamua kukumbusha TU ili wasije wakasahau hao ICC.
Kama wasipomkamata atakamatwa na nani Sasa?
Maana Marekani ndio taifa kubwa kuliko yote ulimwemguni,waliweza hata kumkamata rais wa Colombia Bwana Mannuel Antonio Noriega na kumfunga katika jela za Marekani.
Nasubiri kwa hamu Putin kutiwa pingu kama walivyotiwa pingu Marais Slobodan Milosevic wa Yugoslavia na Charles Taylor wa Liberia kwa Amri ya ICC.
Lakini pia Putin kwenda Marekani itakua rahisi kwa serikali ya marekani kumaliza hamu Yao ya muda mrefu ya Regime change kufanyika huko Urusi,Kwa kumfanya chochote ili asirudi Urusi.
Tunasubiri.
Kabisa. Na masikini hasa wa kiafrica na baadhi wa asia😢Site imechaguliwa Alaska kwa sababu za kihistoria na kijiografia
Ukiwa mbabe raha sana yaani Putin anakanyaga ardhi ya Marekani bila wasiwasi
Arrest warrant za ICC ni kwa ajili ya viongozi dhaifu
All in all Russia sio member wa the Hague na hawaitambui
Kabisa. Na masikini hasa wa kiafrica na baadhi wa asai😢Site imechaguliwa Alaska kwa sababu za kihistoria na kijiografia
Ukiwa mbabe raha sana yaani Putin anakanyaga ardhi ya Marekani bila wasiwasi
Arrest warrant za ICC ni kwa ajili ya viongozi dhaifu
All in all Russia sio member wa the Hague na hawaitambui
kejeliKwa hiyo nadhani Marekani wamepata nafasi ya kumtia mguvuni Bwana Putin.
Niupeleke wapi na post yangu wewe ndo umeanza kuiquote kijana, chota maarifa hapa, sawa.toa ujinga wako hapa
Dah!😳Ninachokiona ni kwamba watakutana na baada ya muda tutasikia Putin ni mgonjwa ana cancer ya damu pia imeathiri Moyo na Mapafu
Ooh Asante sana ukweli nilikua nimesahau,na nimekosea,ntapanda kusahihisha.Noriega alikua rais wa Panama,sio Colombia.
Vijana wa sk hz kumbe ni bure kabisa. Dogo US siyo mwanachama wa ICCMoja kwa moja kwenye swali langu.
Mahakama ya ICC ilimhukumu Putin kwa makosa yanayohusiana na vita ya Ukraine na kutaka akamatwe.
Sasa ni wazi Putin ataenda kuongea na Rais wa Marekani Bwana Trump katika jimbo la Alaska lililoko katika nchi ya marekani.
Hapa ni kama mbuzi kafia kwa muuza supu.
Kwa hiyo nadhani Marekani wamepata nafasi ya kumtia mguvuni Bwana Putin.
Kumbuka Marekani iliunga mkono maamuzi ya mahakama hiyo.
Au wadau mnasemaje?
Nimeamua kukumbusha TU ili wasije wakasahau hao ICC.
Kama wasipomkamata atakamatwa na nani Sasa?
Maana Marekani ndio taifa kubwa kuliko yote ulimwemguni,waliweza hata kumkamata rais wa Colombia Bwana Mannuel Antonio Noriega na kumfunga katika jela za Marekani.
Nasubiri kwa hamu Putin kutiwa pingu kama walivyotiwa pingu Marais Slobodan Milosevic wa Yugoslavia na Charles Taylor wa Liberia kwa Amri ya ICC.
Lakini pia Putin kwenda Marekani itakua rahisi kwa serikali ya marekani kumaliza hamu Yao ya muda mrefu ya Regime change kufanyika huko Urusi,Kwa kumfanya chochote ili asirudi Urusi.
Tunasubiri.
Marekanikwani Alaska iko nchi gani mkuu?
Iko Marekanikwani laska iko wapi?
Marekani haiwezi kumkamata huyu Mzee kama walivyokataa kumkamata Netanyau.Moja kwa moja kwenye swali langu.
Mahakama ya ICC ilimhukumu Putin kwa makosa yanayohusiana na vita ya Ukraine na kutaka akamatwe.
Sasa ni wazi Putin ataenda kuongea na Rais wa Marekani Bwana Trump katika jimbo la Alaska lililoko katika nchi ya marekani.
Hapa ni kama mbuzi kafia kwa muuza supu.
Kwa hiyo nadhani Marekani wamepata nafasi ya kumtia mguvuni Bwana Putin.
Kumbuka Marekani iliunga mkono maamuzi ya mahakama hiyo.
Au wadau mnasemaje?
Nimeamua kukumbusha TU ili wasije wakasahau hao ICC.
Kama wasipomkamata atakamatwa na nani Sasa?
Maana Marekani ndio taifa kubwa kuliko yote ulimwemguni,waliweza hata kumkamata rais wa Colombia Bwana Mannuel Antonio Noriega na kumfunga katika jela za Marekani.
Nasubiri kwa hamu Putin kutiwa pingu kama walivyotiwa pingu Marais Slobodan Milosevic wa Yugoslavia na Charles Taylor wa Liberia kwa Amri ya ICC.
Lakini pia Putin kwenda Marekani itakua rahisi kwa serikali ya marekani kumaliza hamu Yao ya muda mrefu ya Regime change kufanyika huko Urusi,Kwa kumfanya chochote ili asirudi Urusi.
Tunasubiri.
Kwani Tilia Akson kafa?,Acha shobo basi, kama hujaelewa pita kimyakimya kama unamuaga spika wa bunge.